Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,167
- 2,591
[emoji16][emoji16]Halafu wakitoka hapo wanasema NECTA haiwapendi Pascal Mayalla unaona mambo haya
Shot...Uongo chuo hakina maprofesa na chuo kikuu chochote kisicho na maprofesa ni duni
Walimu wote wa CHuo hawa hapo nimetoa list toka website yao wenyewe angalia CV zao hakuna Proffessor
Fran...Hilo ni soko la binadamu, ambapo wanaandaliwa kwenda kuuzwa kwa waume zao nje ya nchi
Ash...Hongera watu usalama kwa kuwahi maana walikuwa wanaandaliwa kuwa watu hatari
Naijua sana historia ya uhuru wa Tanganyika, lakini narudia Tena wakati wa TAA na hatimaye kuundwa kwa TANU mwenye elimu ngazi ya Digrii alikuwa ni Kambarage tu na mwenye hela kuwazidi wote alikuwa John Rupia. Wengine walikuwa na elimu ya kawaida na hela kiduchu.Niz...
Unahitaji kuijua historia ya uhuru wa Tanganyika ili kuweza kuchangia kwa uhakika.
Wote walioasisi African Association mwaka wa 1929 walikuwa na elimu kwa kiwango cha wakati wao.
Halikadhalika mabadiliko makubwa yalipofanyika ndani ya TAA mwaka wa 1950 viongozi waliokuwapo wakati huo walikuwa wameelimika kwa kiwango cha nyakati hizo.
Alikuwapo Abdul Sykes, Hamza Mwapachu, Dr. Vedasto Kyaruzi, Dr. Wilbard Mwanjisi na mdogo wake Roland Mwanjisi, Dr. Joseph Mutahangarwa, Dr. Luciano Tsere, John Keto, Thomas Saudtz Plantan, Schneider Abdillah Plantan, Ramadhani Mashado Plantan, Erica Fiah, Clement Mohamed Mtamila, Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Said Chaurembo na katika majimbo walikuwapo wazalendo wengi kama hawa, Kanda ya Ziwa kulikuwa na Paul Bomani, Ali Migeyo, Sued Kagasheki.
Hawa walikuwa wameelimika vya kutosha.
TAA hakikuwa chama kinachoongozwa na watu wajinga.
Wala kilichomfanya Julius Nyerere apewe uongozi wa TAA mwaka wa 1953 si elimu yake pekee.
TAA ilimuhitaji kiongozi Mkristo akamate nafasi ya juu ili kuleta umoja wa Watanganyika vinginevyo laiti kiongozi wa harakati za uhuru angekuwa Muislam vuguvugu lote lile lingechukua sura kuwa ni Waislam peke yao ndiyo wanaochochea wananchi kudai uhuru.
Hili lingesababisha kwa Waingereza kuwashawishi Wakristo na wao waunde chama chao.
Tanganyika ingeingia katika siasa za kudai uhuru ikiwa imegawanyika.
Huu ndiyo ulikuwa msimamo na fikra ya Hamza Mwapachu mtu aliyemwingiza Nyerere katika harakati za uhuru Dar es Salaam kupitia kwa Abdul Sykes.
Wakati Nyerere alinafika Dar es Salaam mwaka wa 1952 hawa ndiyo walikuwa viongozi wa TAA wakiendesha mambo kupitia TAA Political Subcommittee: Dr. Vedasto Kyaruzi (President), Abdul Sykes (Secretary), Hamza Mwapachu, Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Said Chaurembo, Steven Mhando na John Rupia.
Hii ndiyo historia ambayo wengi hamuifahamu.
Ukitaka kuijua historia ya uhuru wa Tanganyika nakushauri usome kitabu cha Abdul Sykes.
View attachment 2898343
Nipe lengo moja tofauti ya hilo inayoweza kupelekea kuwakusanya mabikra 200, nakazia, mabikra.Fran...
Una ushahidi wa kauli yako?
Hilo dini linafundisha chuki bwana unafikir hatujuiAsh...
Hapakuwa na tishio la usalama.
Ingekuwa hilo limethibiti Sheikh Yusuf Muhammad angefikishwa mahakamani kujibu mashtaka.
Ugonjwa ni ule ule wa kuogopa Uislam uwe ni historia yao katika kupigania uhuru wa Tanganyika au kujenga taasisi zao huru.
Niz...Naijua sana historia ya uhuru wa Tanganyika, lakini narudia Tena wakati wa TAA na hatimaye kuundwa kwa TANU mwenye elimu ngazi ya Digrii alikuwa ni Kambarage tu na mwenye hela kuwazidi wote alikuwa John Rupia. Wengine walikuwa na elimu ya kawaida na hela kiduchu.
Ash...Hilo dini linafundisha chuki bwana unafikir hatujui
Usijidanganye.Walianzisha harakati za kudai uhuru sawa lakini hawakuwa na elimu Dunia ndio maana wakamhitaji mtu anayeona mbali mwenyeelimu ya kutosha yaani Kambarage wa Butiama
Wapi habari imetaja 200?Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma inayosadikika kuwapa elimu ya dini.
Wapo zaidi ya mabikra 200, wanakula na kunywa bure kwa siri kubwa sana.
Wameambiwa wanafundishwa dini, ukweli haujuikani lakini maagizo ya mkuu wa mkoa yanatia shaka hasa baada ya kutoa maagizo mepesi.
Mkuu wa mkoa alitakiwa atonyeshe hao wamilki, atuambie namna wamewapata hao wasichana bikra,mwazazi wao na taarifa nyingine.
Huenda tunaambiwa kila siku watu wamepotea tuna hangaika kuwatafuta kumbe wahusika wapo na hatupewi taarifa.
Ndugu yangu, waziri mpendwa Doctor GWAJIMA naomba utusaidie kuhusu hawa watoto!
View attachment 2896255
Kama wewe eeh?Bahati mbaya viongozi wa Tanzania wanafurahi wananchi kuwa wajinga, elimu si kipaumbele chao kuliko uchawa, mpaka rais anaukubali!
Hata mimi nimesikitika dana mabinti kuwachishwa masomo ya dini yao kabla hawajahitimu.Inasikitisha sana
Kuna chema cha dunia zaidi ya Uislam?Hawa wengi wao wanawatoa Kondoa .. Kuna maeneo kule watu hawajui chochote Cha Dunia zaidi ya Uislam.. hata wakiona mtu wa Dini nyinginewanadhangaa mno..
Kuna Mwalimu Mkristu alipangwa kufundisha huko alipata shida sana!
Mabikra waachwe wasome ilm zote, ilm duniya na ilm akhera. Tatizo ni pale maustadh wanapolazmisha wapate ilm akhera pekee.Hata mimi nimesikitika dana mabinti kuwachishwa masomo ya dini yao kabla hawajahitimu.
Pitia youtubue, nikiwaka hapa mods wanaondoa, labda issue za copyrights.Wapi habari imetaja 200?
Hiyo ni sifa kubwa tena kubwa sana mabinti kutunzwa na kusomeshwa dini na bikra zao. Au Ulitaka wasiwe bikra?