Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
- #161
Hapana, mtu yeyote anaweza kuajiriwa. Sheria ya kazi inakataa ubaguzi wa aina yeyote sema tu, Walokole hawawezi kufanya kazi hapo maana , kwanza wanakula kiti moto, pili wanakosa sehemu za kupigia pambio zao na tatu, wanaweza wakaanza kusali maruhani yakalipuka.Sifa za kuajiriwa hiki chuo ni uislam naona wote ni waislam hapo