Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma, inayosadikika kupewa elimu ya dini

Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma, inayosadikika kupewa elimu ya dini

Sifa za kuajiriwa hiki chuo ni uislam naona wote ni waislam hapo
Hapana, mtu yeyote anaweza kuajiriwa. Sheria ya kazi inakataa ubaguzi wa aina yeyote sema tu, Walokole hawawezi kufanya kazi hapo maana , kwanza wanakula kiti moto, pili wanakosa sehemu za kupigia pambio zao na tatu, wanaweza wakaanza kusali maruhani yakalipuka.
 
Huyo Ustaadh alipaswa kua jela hadi sasa.

Kuna mwingine huko Bagamoyo yeye anakusanya watoto wadogo na kuwafundisha ushoga na hajachukuliwa hatua yoyote.

Tanzania hakuna sheria kali za kuwalinda watoto.
Inahitajika maarifa ya ziada
 
Back
Top Bottom