Hiyo ilm ya kufundisha watoto kuvalisha kondom si ilikuja tukiwa na rais Mwislaa, na sasa ni mwislaa, kama wanaona mbaya wafute na kondoo za msaada wa watu wa marekani pia wazikatae.Kuna chema cha dunia zaidi ya Uislam?
Au kwako wewe masomo ya kufundisha watoto namna ya kuvalisha wanaume kondom kuanzia shule ya msingi ndio ya maana?
One a time nilimtembelea jamaa yangu shule ya msingi Unkuku huko Kondoa. Nilishangaa kuona siku ya Ijumaa masomo yanaishia saa5.Hawa wengi wao wanawatoa Kondoa .. Kuna maeneo kule watu hawajui chochote Cha Dunia zaidi ya Uislam.. hata wakiona mtu wa Dini nyinginewanadhangaa mno..
Kuna Mwalimu Mkristu alipangwa kufundisha huko alipata shida sana!
Tupo mtukati huku viongozi wanaofaidi ujinga wa watanzania walio wengi upande wa pili umma wa wajinga wanaokingia kifua na kutetea viongozi wanao penda waliowengi wabaki gizani wakitumia Kila fursa kudanganya mfano 1) hatuna sbbu ya alshabab 2)nchi Jirani wanamatatizo afadhali sie 3) uchumi wetu imara kuliko wao, watanzania tunaweza na mengine mengi huku wakijua fika hizo ni kauli mbiu za kisiasa tu,[emoji24]Bahati mbaya viongozi wa Tanzania wanafurahi wananchi kuwa wajinga, elimu si kipaumbele chao kuliko uchawa, mpaka rais anaukubali!
afadhali anayemsubiri yesu kwani hana madhara kwa wengine.Nimeshangaa sana, hawa wanamsubiri Yesu, wengine wanafundishwa Siasa kali, yani ukishaskia "fulani wa siasa kali" ni hatari kwa taifa.
Naomba kukuita Dokta.Tupo mtukati huku viongozi wanaofaidi ujinga wa watanzania walio wengi upande wa pili umma wa wajinga wanaokingia kifua na kutetea viongozi wanao penda waliowengi wabaki gizani wakitumia Kila fursa kudanganya mfano 1) hatuna sbbu ya alshabab 2)nchi Jirani wanamatatizo afadhali sie 3) uchumi wetu imara kuliko wao, watanzania tunaweza na mengine mengi huku wakijua fika hizo ni kauli mbiu za kisiasa tu,[emoji24]
Baadae wanalaumu mfumo kristo.One a time nilimtembelea jamaa yangu shule ya msingi Unkuku huko Kondoa. Nilishangaa kuona siku ya Ijumaa masomo yanaishia saa5.
Ukifika muda huo watoto wanakwenda msikitini, shule inabaki na wanafunzi wasiofika hata 20 kati ya 400 hivi.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Kwahiyo walikuwa boarding school isiyo na jina?Hapo shida ni kuwakatiza watoto masomo
ila vituo kama hivyo vipo ni sawa na shule za boarding tu
Duh! Hii ni hatari..hao watoto Kila mmoja si ana mzazi wake,,wako wapi wazazi wao?
Shot...
Nimefika MUM nimepokelewa na Prof. Mussa Assad na Prof. Hamza Njozi.
Nimewahi halikadhalika kuwa kwenye mradi wa utafiti na Prof. Ibrahim Juma kutoka MUM.
Nashangaa kuwa hawapo kwenye hiyo orodha.
Nakumbuka pia alikuwako Prof. kutoka Malaysia lakini alikwenda likizo kwao na hakurejea kwa sababu za corolla.
Sawa ni Mahojiano, hebu thibitisha kuwa alichosema huyo Kitwana Selemani ni sahihiMuc...
Huu ndiyo ustaarabu wa kujadiliana.
Watu wanashindanisha hoja.
Tatizo si kupeleka watoto shule.
Tatizo ni kuhujumiwa kwa wanafunzi hawa walioko shuleni.
Angalia mfano huo hapo chini:
''Lakini tuende kielimu. Ninayo ripoti ya mwaka huu. Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu.
Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21.
Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe.
Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79.
Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.
Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu.
Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga.
Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha.''
Annur Na.187- Feb.5-11, 1999
Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma
USIA WA MAREHEMU KITWANA SELEMANI KONDO KWA WATANZANIA
Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999 Mohamed Said February 17, 2015 0 Annur Na.187- Feb....mohamedsaidsalum.blogspot.com
View attachment 2898373
Mahojiano na Kitwana Selemani Kondo nyumbani kwake Upanga 2012
Shotocanyaliyopita si ndwele Waislamu mumepewa chuo kikuu Cha Morogoro Bure na serikali kile mororogoro Muslim University hakina maprofesa hata Waislamu maprofesa hawataki kwenda kufundisha pale na pia wanachuo kupata shida wamejaa wanzanzibari kiduchu
Chuo mumepewa Waislamu hawataki kwenda kusoma Hicho wamejazana vyuo secular sababu Kiko duni sana kielimu muda mwingi swala Tano tu
Sasa mnawafundisha kwa siri ili iweje? Au mnawapeleka kuwa wake wa al-shababuFicha ujinga wako, Sheria ya uislamu hairuhusu hilo jambo Kwa wanawake
Na hii ni kama ya Ole MushiWasichana wa ki-islamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma inayosadikika kuwapa elimu ya dini leo 19-02-2024.
Waislamu wana mambo zaooππππ!
Asante ... Visarakasi vya St Paul Makonda ni sarakasi na nusu. Fikiria tuwe na hali ambapo dhulma ni kawaida na watu washauriwe wasiende mahakamani kutakuwa na nchi hapo? Kwamba ukidhukumiwa na tajiri uamue utumie sime au?Naomba kukuita Dokta.
Viongozi washajua mafukara watakacho.
Wanapita na wao wanajiita mafukatra, mfano makonda kwenye hotuba anasema yeye niu maskini hivyo ile nyumba aliyoipora kipindi akiwa nanii eti aliona asiende mahakamani kwakuwa hatoweza kushindana na GSM.
alijua hana chake na akapewa legal o[pinion, angeenda vipi mahakamani, mtu mwenye pharmacy kubwa hapo Morocco -airtel kwenye ghorofa lipya na maghorofa mwanza, Dar, kigamboni anajiita maskini, je mama anayeuza ndizi kwenye beseni toka asubuhi mpaka jioni na kuingiza elfu 5 kama faida yey tumuiteje?
anamwambia huyo mama akidhulumiwa asiende mahakamani kwakuwa mahakama ni za matajiri?
Kama mahakama ni za matajiri kwanini asikubali Katiba mpya ili ziwe za wote?
Sifa za kuajiriwa hiki chuo ni uislam naona wote ni waislam hapoUongo chuo hakina maprofesa na chuo kikuu chochote kisicho na maprofesa ni duni
Walimu wote wa CHuo hawa hapo nimetoa list toka website yao wenyewe angalia CV zao hakuna Proffessor
Hata kama ni chuki imezidi,Madrasa msituni?Singida hii hali imeshamili sana na wazaz wao wanabariki hiko kitu , nlimpata mdada mmoja mzur kwel ila aliponiambia wapo msituni wanafundishwa madrasa nkaona hapa kuna ttzo tyr