Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma, inayosadikika kupewa elimu ya dini

Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma, inayosadikika kupewa elimu ya dini

Kuna chema cha dunia zaidi ya Uislam?

Au kwako wewe masomo ya kufundisha watoto namna ya kuvalisha wanaume kondom kuanzia shule ya msingi ndio ya maana?
Hiyo ilm ya kufundisha watoto kuvalisha kondom si ilikuja tukiwa na rais Mwislaa, na sasa ni mwislaa, kama wanaona mbaya wafute na kondoo za msaada wa watu wa marekani pia wazikatae.
 
Hawa wengi wao wanawatoa Kondoa .. Kuna maeneo kule watu hawajui chochote Cha Dunia zaidi ya Uislam.. hata wakiona mtu wa Dini nyinginewanadhangaa mno..
Kuna Mwalimu Mkristu alipangwa kufundisha huko alipata shida sana!
One a time nilimtembelea jamaa yangu shule ya msingi Unkuku huko Kondoa. Nilishangaa kuona siku ya Ijumaa masomo yanaishia saa5.

Ukifika muda huo watoto wanakwenda msikitini, shule inabaki na wanafunzi wasiofika hata 20 kati ya 400 hivi.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Bahati mbaya viongozi wa Tanzania wanafurahi wananchi kuwa wajinga, elimu si kipaumbele chao kuliko uchawa, mpaka rais anaukubali!
Tupo mtukati huku viongozi wanaofaidi ujinga wa watanzania walio wengi upande wa pili umma wa wajinga wanaokingia kifua na kutetea viongozi wanao penda waliowengi wabaki gizani wakitumia Kila fursa kudanganya mfano 1) hatuna sbbu ya alshabab 2)nchi Jirani wanamatatizo afadhali sie 3) uchumi wetu imara kuliko wao, watanzania tunaweza na mengine mengi huku wakijua fika hizo ni kauli mbiu za kisiasa tu,[emoji24]
 
Naomba kukuita Dokta.
Viongozi washajua mafukara watakacho.
Wanapita na wao wanajiita mafukatra, mfano makonda kwenye hotuba anasema yeye niu maskini hivyo ile nyumba aliyoipora kipindi akiwa nanii eti aliona asiende mahakamani kwakuwa hatoweza kushindana na GSM.
alijua hana chake na akapewa legal o[pinion, angeenda vipi mahakamani, mtu mwenye pharmacy kubwa hapo Morocco -airtel kwenye ghorofa lipya na maghorofa mwanza, Dar, kigamboni anajiita maskini, je mama anayeuza ndizi kwenye beseni toka asubuhi mpaka jioni na kuingiza elfu 5 kama faida yey tumuiteje?

anamwambia huyo mama akidhulumiwa asiende mahakamani kwakuwa mahakama ni za matajiri?
Kama mahakama ni za matajiri kwanini asikubali Katiba mpya ili ziwe za wote?
 
One a time nilimtembelea jamaa yangu shule ya msingi Unkuku huko Kondoa. Nilishangaa kuona siku ya Ijumaa masomo yanaishia saa5.

Ukifika muda huo watoto wanakwenda msikitini, shule inabaki na wanafunzi wasiofika hata 20 kati ya 400 hivi.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Baadae wanalaumu mfumo kristo.
 
Hapo shida ni kuwakatiza watoto masomo

ila vituo kama hivyo vipo ni sawa na shule za boarding tu
Kwahiyo walikuwa boarding school isiyo na jina?
Mtu mwenye akili zake atamtoaje binti yake aende kulelewa na watu ambao wala hawajulikani kisheria?

Mkuu wa majeshi alikuwa na hoja aliposema kuna dalili mambo kutoenda sawa
 
Shot...
Nimefika MUM nimepokelewa na Prof. Mussa Assad na Prof. Hamza Njozi.

Nimewahi halikadhalika kuwa kwenye mradi wa utafiti na Prof. Ibrahim Juma kutoka MUM.

Nashangaa kuwa hawapo kwenye hiyo orodha.

Nakumbuka pia alikuwako Prof. kutoka Malaysia lakini alikwenda likizo kwao na hakurejea kwa sababu za corolla.

Una Haki kushangaa
Kifupi Hicho chuo wanatapeli waislamu wakishirikiana na matapeli wabobezi wa kiislamu ukitokea ujumbe mkubwa wa kukagua uwe wa wizara nk maprofesa matapeli huenda kujifanya wao ni wahadhiri hapo ndicho kilichokukuta hata iwe TCU time ya kuhakiki ubora wa vyuo vikuu ikienda kuhakiki kama Wana Maprofesa wanaonyesha mikataba ghafla kuwa tumeajiri maprofesa hawa wakiondoka tu basi business as usual ndio kilichokukuta
Matapeli sana hao waislamu wenzio waambie kabisa waache kutapeli waislamu Wenzao sio vizuri
 
Muc...
Huu ndiyo ustaarabu wa kujadiliana.
Watu wanashindanisha hoja.

Tatizo si kupeleka watoto shule.
Tatizo ni kuhujumiwa kwa wanafunzi hawa walioko shuleni.

Angalia mfano huo hapo chini:

''Lakini tuende kielimu. Ninayo ripoti ya mwaka huu. Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu.

Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21.

Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe.

Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79.
Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.

Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu.

Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga.

Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha.''

Annur Na.187- Feb.5-11, 1999
Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma

View attachment 2898373
Mahojiano na Kitwana Selemani Kondo nyumbani kwake Upanga 2012​
Sawa ni Mahojiano, hebu thibitisha kuwa alichosema huyo Kitwana Selemani ni sahihi

Weka Uthibitisho hapa, na awe amefanya utafiti rasmi huko NECTA

LASIVYO ni Uzushi tu kama uzushi mwingine mnaoletaga Waislam humu na kulialia
 
yaliyopita si ndwele Waislamu mumepewa chuo kikuu Cha Morogoro Bure na serikali kile mororogoro Muslim University hakina maprofesa hata Waislamu maprofesa hawataki kwenda kufundisha pale na pia wanachuo kupata shida wamejaa wanzanzibari kiduchu

Chuo mumepewa Waislamu hawataki kwenda kusoma Hicho wamejazana vyuo secular sababu Kiko duni sana kielimu muda mwingi swala Tano tu
Shotocan
 
Naomba kukuita Dokta.
Viongozi washajua mafukara watakacho.
Wanapita na wao wanajiita mafukatra, mfano makonda kwenye hotuba anasema yeye niu maskini hivyo ile nyumba aliyoipora kipindi akiwa nanii eti aliona asiende mahakamani kwakuwa hatoweza kushindana na GSM.
alijua hana chake na akapewa legal o[pinion, angeenda vipi mahakamani, mtu mwenye pharmacy kubwa hapo Morocco -airtel kwenye ghorofa lipya na maghorofa mwanza, Dar, kigamboni anajiita maskini, je mama anayeuza ndizi kwenye beseni toka asubuhi mpaka jioni na kuingiza elfu 5 kama faida yey tumuiteje?

anamwambia huyo mama akidhulumiwa asiende mahakamani kwakuwa mahakama ni za matajiri?
Kama mahakama ni za matajiri kwanini asikubali Katiba mpya ili ziwe za wote?
Asante ... Visarakasi vya St Paul Makonda ni sarakasi na nusu. Fikiria tuwe na hali ambapo dhulma ni kawaida na watu washauriwe wasiende mahakamani kutakuwa na nchi hapo? Kwamba ukidhukumiwa na tajiri uamue utumie sime au?
 
Singida hii hali imeshamili sana na wazaz wao wanabariki hiko kitu , nlimpata mdada mmoja mzur kwel ila aliponiambia wapo msituni wanafundishwa madrasa nkaona hapa kuna ttzo tyr
Hata kama ni chuki imezidi,Madrasa msituni?
 
Back
Top Bottom