Hapana, mtu yeyote anaweza kuajiriwa. Sheria ya kazi inakataa ubaguzi wa aina yeyote sema tu, Walokole hawawezi kufanya kazi hapo maana , kwanza wanakula kiti moto, pili wanakosa sehemu za kupigia pambio zao na tatu, wanaweza wakaanza kusali maruhani yakalipuka.