What a bunch of c. . r. . .a. . .p. . .karibu tukuelimishe mpaka uelewe
elewa point inayozungumzwa.....
hii haiwezi kuwa ni faida eti kwa kuwa it works for
some individual.....ni hasara kwa kila mtu hata huyo individual......
get it now?
Mimi ndio Amenichanganya kabisa, maana nina appointment nae na all booking is confirmed Matola & Lizzy Special Valentine day Banquet, sasa sijui hizi changes inakaaje hii!!Nitaapili juu ya hii id yako mpya..old is gold bwana
That was not an enforceable order.
What a bunch of c. . r. . .a. . .p. . .
I'm out!!
Last but not least, maadili... tumezowea kuyaona kila siku hadi tunasahau kua ni kosa. Imekua ni kawaida tu, ni njia katika njia zingine za kupata unacho kitafuta.
Caramel ya kazi gani wakati nna Chocolate yenyewe?
Au nawe unakubaliana na nihilist, anything goes? 😡
Faida ipo. . . ikiwa atajifunza kitu kweli maana hamna atakapoandikwa aliipata vipi useme waajiri wakiona CV yake watamnyima kazi.
Tatizo ni kama atajiskia amani au la, kama ataweza kuendelea huko mbele kwa juhudi binafsi au kila mara atataka urahisi.
Mimi ndio Amenichanganya kabisa, maana nina appointment nae na all booking is confirmed Matola & Lizzy Special Valentine day Banquet, sasa sijui hizi changes inakaaje hii!!
Dead on Mwali!
Most of those girls are products of their own environment. Blaming them squarely is to not see the forest for the trees.
lol........others may have different opinion....
and the know crap when they see it....
The Boss anatuonea wanachuo bure. Hajaona mazingira tunayo ishi. Nakubali mtu akisha toa rushwa ya ngono kwa kupata digri kakosea ila hawezi kuacha just because The Boss doesn't like it. Ataacha pale yale mazingira yatakapo badilishwa.Dead on Mwali!
Most of those girls are products of their own environment. Blaming them squarely is to not see the forest for the trees.
My philosophy is live and let live but within reason.
actually nazungumzia zaidi jinsi ambavyo siku hizi
society inaona kuwa its not a big deal watu ku apply
'the end justify the means..'.......kuliko ku wa blame hao wasichana....
Learn to agree to disagree. . .kueleweka haina maana kuungwa mkono, hilo hata asiekuelewa anaweza. Kueleweka ni pamoja na kuonyeshwa namna nyingine ya kufikiri/kufanya jambo.
Hiyo ya kuwa na Caramel kwa kuwa huna Chocolate karibu is without reason
The Boss anatuonea wanachuo bure. Hajaona mazingira tunayo ishi. Nakubali mtu akisha toa rushwa ya ngono kwa kupata digri kakosea ila hawezi kuacha just because The Boss doesn't like it. Ataacha pale yale mazingira yatakapo badilishwa.
So kama The Boss kaamua kuchunguza hili tatizo kwa undani afungue pia ukurasa wa waalimu kuwatamani wanafunzi, fairness ya marking system, scarcity of jobs and necessity to compete sometimes by all means, recruitment system (vyeti versus ujuzi), maadili etc. vyanzo ni vingi kuliko tunavyo fikiria. Inagwa each of them has her own reason, kuna general ones ambazo zinatakiwa kufanyiwa kazi.