The Boss anatuonea wanachuo bure. Hajaona mazingira tunayo ishi. Nakubali mtu akisha toa rushwa ya ngono kwa kupata digri kakosea ila hawezi kuacha just because The Boss doesn't like it. Ataacha pale yale mazingira yatakapo badilishwa.
So kama The Boss kaamua kuchunguza hili tatizo kwa undani afungue pia ukurasa wa waalimu kuwatamani wanafunzi, fairness ya marking system, scarcity of jobs and necessity to compete sometimes by all means, recruitment system (vyeti versus ujuzi), maadili etc. vyanzo ni vingi kuliko tunavyo fikiria. Inagwa each of them has her own reason, kuna general ones ambazo zinatakiwa kufanyiwa kazi.