ndo tatizo la vijana tulio wengi....... ata pata vyeti tena vizuri sana lakini elimu aliyopata kamwe haiwezi kumsaidia kufuta ujinga,
ebu kuweni wazi ndugu zangu, nilini ulipata salary yako ukasema unatoa 30,000 unaenda kununua novel ya Sidney Sheldon kati ya novel zake18 ambayo hujaisoma?
nilini ulisema by any means lazimi nisome daily newspaper japo Mara mbili kwa wiki? au ulipopata kazi na magazeti ukayapa kisogo?
wangapi wetu nyumbani tuna dictionary kubwa zinazotumiwa na watu wenye elimu kama uliyonayo?
wengine wajajiuza ila walipata elimu zao kwa nguvu zao ila walipoambiwa una upper second, ndo vitabu vikafungwa. mtu wa style hii ana tofauti na unayemzungumzia.
Duniani tunapita, if you will not be care, ata maeneo ya mwenge, sinza, ubungo etc, in 70 years to come after your life, hakuna atakayejua kuwa kulikua na mtu kama wewe duniani,