wasichana wanabore sana

siku moja nipe appointment nikutembeze uswazi uone utamu wa maisha ila ni kwa gharama zako tafadhari.

unaogopa gharama ww! Poa ucjali nna hamu nikawaone maana naskia buguruni kuna wanaotoa hadi kwa 500/= eti ni kweli?
 
Hehehehe niliwahi susa mzigo hivi hivi Guest kwa ajili ya usafi hamu iliisha yote nikamwacha humo humo mm nikachapa mwendo nasikitika gharama nilizo tumia alikunywa soda 2 na karanga mbichi za 200/=

Hahahaaaaaaaaaa soda 2 na karanga za 200 we fidel wewe mwe! nimecheka watu wananishangaaa naona ukalale sasa
 
Jamani kuna tabia ya mademu inanibore sana. Yani mara baada ya kumu approach hata hujafanikiwa ana anza kurusha invoice. Tabia hii ni mbaya na inauzi sana wanaume kwahiyo muache kupiga invoice kabla. Muwe tu wavumilivu you will be taken care.
mkuu hayo ndio matatizo yanayonifanya nihame tz.....mashori wa kibongo mizinga kibaoo....
 
Fidel leo umamkaje lakini wewe??/ Umekutana nayo nini Kingstar ukachukua mjengo kumbe mashine haijaoshwa tangu asubuhi maana una hasiraaaaaaaaaaaaaaaaa Pole My Brooooo

Ahsante nalia na gharama nilizo poteza toto la nguvu guu hilo lakini kumbe ovyo kabisa
 
unaogopa gharama ww! Poa ucjali nna hamu nikawaone maana naskia buguruni kuna wanaotoa hadi kwa 500/= eti ni kweli?

Hahahaha wapo lakini kubabuka ni nje nje sasa hao unao zungumzia ni wale wanao jiweka sokoni
 

Nina vidole vidogo sana Maty,alafu nina watoto wawili,kweli vidole vitatu visipite????haya ntaanza mazoezi leo leo......kanywe supu mama...lol
 
Hahahaaaaaaaaaa soda 2 na karanga za 200 we fidel wewe mwe! nimecheka watu wananishangaaa naona ukalale sasa

Haswaaaaaa nalia na gharama nilizo tumia alafu nikashindwa hata kumega dah hapo bado piga hesabu ya Guest dah maumivu.
 
hahahaaaaaaaaaa soda 2 na karanga za 200 we fidel wewe mwe! Nimecheka watu wananishangaaa naona ukalale sasa

maty,hata mm nimecheka sana,fidel ana vituko sana. Inaelekea ana experience ya kutosha sana.
 
Hivi m2 huwa anajisikiaje anapojiita Shetani?
 
maty,hata mm nimecheka sana,fidel ana vituko sana. Inaelekea ana experience ya kutosha sana.

Kweli bana iliniuma sana roho yaani nimejiandaa mwenyewe alafu nakuja kuingia hasara dah.

Alafu kwa nini mkipewa appointment huwa mnakuja na wapambe?
 
ooo,pole sana. Uhovyo wake ni kutokana na machine kunuka au hajui mambo?

Machine ilikuwa inatema harufu ikabidi niombe kwa mhudumu dawa ya mbu RUNGU nipulize angalau nipoteze harufu chumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…