TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
siku moja nipe appointment nikutembeze uswazi uone utamu wa maisha ila ni kwa gharama zako tafadhari.
unaogopa gharama ww! Poa ucjali nna hamu nikawaone maana naskia buguruni kuna wanaotoa hadi kwa 500/= eti ni kweli?