wasichana wanabore sana

hili swali limshajibiwa hapo juu Michelle,
mashine zingine zimeungwa ungwa tu kwa spare (used) za kichina,
hata uwashe vipi, labda utumie hendeli!!!!!!

Nimesoma,sasa si umsaidie apate spare za German,US ili mashine itulie,mpango mzima uendelee???
Kwanini umkimbie Bacha jamani??:Cry:
 
maisha magumu watu wanatafuta mabega ya kubembea ukikubali tu unalo
 
Nimesoma,sasa si umsaidie apate spare za German,US ili mashine itulie,mpango mzima uendelee???
Kwanini umkimbie Bacha jamani??:Cry:

oraiti,
tatizo ni kwamba unaweza msaidia hizo spare za germany,
halafu baadae, akaja akakuruka kimanga!!!

ndio maana tunaenda uswahilini!!!!
 
Hebu Mchwechwele,
washauri hawa wadada basi,
wavaaje wazuie huo uvundo?

Na joto la Dar unakuta mrembo kapiga dabali utafikiri anaenda kuchapwa viboko
 
guiness 2 + kiroba,
nasikia nayo ni balaa!!
Tati ndo anapenda hizo!!!!

hahaaa,kama utaweza kudumu kwa not less than 15mins itakuwa poowa si dk mbili tu hoooi kama fillet.
 
we sasa hizo invoice zinaandikiwa wapi kama sio huko huko nyie mwataka wali nazi halafu kulipa hamjui

uswahilini kwetu,
uzuri tunafahamiana,
hakuna hii!!!!!
 
ngoja michelle aone hii,
shauri yako?
Actually, eti michelle, dabali ndo nini?

Ebwaneee nakumbuka dabali enzi za shule ya msingi unatanguliza ndani kijeans
 
hahaaa,kama utaweza kudumu kwa not less than 15mins itakuwa poowa si dk mbili tu hoooi kama fillet.

oraiti, 15 mins sio issue,
ila kama na wewe hiyo mashine yako ina 4 wheel, haina tabu!
lakini kama ndo inavalishwa dabali tu, hamna kitu hapo!
 
we sasa hizo invoice zinaandikiwa wapi kama sio huko huko nyie mwataka wali nazi halafu kulipa hamjui

sasa sisi huku uswahilini,
hayo mainvoice, delivery note ya nini,
wala hatuyajui kwanza!!!!!
sisi, kisamvu cha nazi, cha kopo,
Tembele la kuokwa hapo umetufikisha!!!!!!!!
 
Jamani kuna tabia ya mademu inanibore sana. Yani mara baada ya kumu approach hata hujafanikiwa ana anza kurusha invoice. Tabia hii ni mbaya na inauzi sana wanaume kwahiyo muache kupiga invoice kabla. Muwe tu wavumilivu you will be taken care.

Wewe si unataka utamua lazima ughalamie bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…