Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Jamani kwanza nakupongeza kwa huduma nzuri ya usafiri unayotoa huko kijijini,kweli maendeleo imekuwa ndoto ya wengi wanakufa bila kuyaona.
Sasa eti nisaidia DABALI ni nini???
Natanguliza shukrani.................
Na wewe Michelle umesoma shule za Akademi nn dabali zile nguo ngumu ngumu unatanguliza ndani ukichapwa fimbo haziingi