wasichana wanabore sana

Jamani kwanza nakupongeza kwa huduma nzuri ya usafiri unayotoa huko kijijini,kweli maendeleo imekuwa ndoto ya wengi wanakufa bila kuyaona.

Sasa eti nisaidia DABALI ni nini???
Natanguliza shukrani.................

Na wewe Michelle umesoma shule za Akademi nn dabali zile nguo ngumu ngumu unatanguliza ndani ukichapwa fimbo haziingi
 
michelle sema bwana!

Tati nimeungana na wewe,unajua ile mb.... ni nzuri,ikiwa na size nzuri,inatumika vizuri,safi na iliyozungukwa na mandhari safi,na mwenye nayo akiwa msafi,kidogo ananukia vizuri,haisinyai haraka etc etc,mengine ndo kama wewe ulivyosema Tati wangu.....lol
 
Na wewe Michelle umesoma shule za Akademi nn dabali zile nguo ngumu ngumu unatanguliza ndani ukichapwa fimbo haziingi

Asante Fidel,unajua sisi kule kijijini tulikuwa hatuongei kiswahili,tunazungumza kisukuma so sikujua kama kwa kiswahili inaitwa dabali,kiswahili hiki hadi leo najifunza,mjini nilipita tu.....maisha haya????
 
Ok - Kwahiyo muafaka ni upi?

- Huduma ni post-paid au pre-paid?
- Uswazi na "High-Class" na ni zaidi?
- Invoice kwanza au PO?
- au?
 
Inayo shughulika saa 2 mfululizo vp hamzitaki jamani?
 
makaguzi b'dae. Halafu mzigo ukinunuliwa haurudishwi.

Nimeipenda hii,nafikiri hii niyakutumia....
Saa nyingine unakuta mzigo mzuri tu linajidai eti hauna viwango/mara ume-expire,sasa nikishapokea hela namwambia MZIGO UKISHANUNULIWA HAURUDISHWI.......:A S thumbs_up:
 
Ok - Kwahiyo muafaka ni upi?

- Huduma ni post-paid au pre-paid?
- Uswazi na "High-Class" na ni zaidi?
- Invoice kwanza au PO?
- au?

Huduma ni PRE PAID
Uswazi ni the best in bed but class am not sure...........lol
Invoice ilipiwe kwanza:car::car:
 
Inayo shughulika saa 2 mfululizo vp hamzitaki jamani?

Hiyo kwa wale unaowalipa inakubaliwa ila kwa wengine ambao tunafanya tufurahie wote,itakuwa ngumu
If its business poa,if its all about having fun and enjoying,NO!
 
Huduma ni PRE PAID
Uswazi ni the best in bed but class am not sure...........lol
Invoice ilipiwe kwanza:car::car:

Kutokana na uzoefu wangu sijawahi kukuta kitu chenye kutoa harufu uswazi alafu kule malipo ni post paid
 
Hiyo kwa wale unaowalipa inakubaliwa ila kwa wengine ambao tunafanya tufurahie wote,itakuwa ngumu
If its business poa,if its all about having fun and enjoying,NO!

Hahahaha yaani unapiga 3 in 1 si mchezo mpaka mashine inakauka
 
Kutokana na uzoefu wangu sijawahi kukuta kitu chenye kutoa harufu uswazi alafu kule malipo ni post paid

Unajua Fide hapa tunatoa conclusion ya yale yaliyozungumzwa,wengi wamesemaje????ndo hayo,sasa kama uswazi ni hivyo hapa JF tumesema malipo ni PRE-PAID
 
Hili ulitakiwa uliseme mapema sana michelle,
mbona umechelewa hivo,
anyway, thanks kwa kutoa opinion yako mama!
 
Unajua Fide hapa tunatoa conclusion ya yale yaliyozungumzwa,wengi wamesemaje????ndo hayo,sasa kama uswazi ni hivyo hapa JF tumesema malipo ni PRE-PAID

Uswazi hakuna PRE-PAID bana haya mambo ya pre-paid ni huko huko kwa watoto wa mboga saba.
 
Kutokana na uzoefu wangu sijawahi kukuta kitu chenye kutoa harufu uswazi alafu kule malipo ni post paid

haya mkuu,
michelle na Tatiana leo,
hopefully wamejifunza mengi!!!!!!!
 
Hili ulitakiwa uliseme mapema sana michelle,
mbona umechelewa hivo,
anyway, thanks kwa kutoa opinion yako mama!

Nimechelewa wapi tena Bacha wakati nilishasema naungana na Tati tangia mwanzo???
au ndo unanitafutia visababu???? sawa bana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…