Baba Enock,nitake radhi.....
ungeniuliza nilikozaliwa,hapa tunaelimishana si kwamba nachoongea kina reflect mimi nilivyo,lets not take it personal
Am a very normal girl,nimezaliwa Shinyanga vijijini na nimekulia huko,kusoma nimesoma kwa hela ya baba yangu si kwa schorlaship(that one am proud of) ila kwenye kujadili ishu kama hizi tunapeana ma-experience tu,usinione matawi ambayo siko.....natumai umenielewa.
Kwa mtizamo wangu wasichana wazuri wako kokote si uswazi tu,hata shinyanga,iringa,sumbawanga,dodoma,arusha, kuna wasichana wazuri sana........uzuri is a relative term,huwezi mdanganya yeyote kuwa uswazi tu ndo kwenye wanawake wazuri,maybe kwingine kuna wanawake wazuri but you can not access them,na sina maana ya uwezo wa kifedha pengine distance..............lol