TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
nina vidole vidogo sana maty,alafu nina watoto wawili,kweli vidole vitatu visipite????haya ntaanza mazoezi leo leo......kanywe supu mama...lol
mh,nimegundua kitu. Kumbe na yangu nzuri sana ndo maana jamaa ananipenda sana. Maty hebu nipe test ingine kama unajua plz.