Wakuu habari!
Mimi mvulana wa miaka 23,nilichelewa kufanya mapenzi kwani nimeanza mwaka jana tu nikiwa na miaka 22 sasa tatizo linalonisibu bila kwenda bao 6 na kuendelea sijiskii na baada ya bao la kwanza yanayofuata huwa nachelewa sana kukojoa at least dakika 20, na kwa bahat mbaya juzi nimekimbiwa na mpenzi wangu ambae ni wa 3 na kunimbia kua hajzoea bao zote hizo, sasa wanajamvi hili ni tatizo na je,linatibika? Msaada jamani naumbuka kijana mwenzenu!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums