Wasichana wananikimbia kwa sababu ya bao 6 na kuendelea!

Wasichana wananikimbia kwa sababu ya bao 6 na kuendelea!

Kabaizer

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
504
Reaction score
64
Wakuu habari!

Mimi mvulana wa miaka 23,nilichelewa kufanya mapenzi kwani nimeanza mwaka jana tu nikiwa na miaka 22 sasa tatizo linalonisibu bila kwenda bao 6 na kuendelea sijiskii na baada ya bao la kwanza yanayofuata huwa nachelewa sana kukojoa at least dakika 20, na kwa bahat mbaya juzi nimekimbiwa na mpenzi wangu ambae ni wa 3 na kunimbia kua hajzoea bao zote hizo, sasa wanajamvi hili ni tatizo na je,linatibika? Msaada jamani naumbuka kijana mwenzenu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bao 6, at a minimum of 20 minutes.
Hiyo kiungo yako itakutia umaskini. Ungeiganya profeshenol. I mean taguta tender ya porn star.

Hatari!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Si upunguze,piga mbili inatosha.by the way inaonekana huna shughuli za kukufanya busy
 
Si upunguze,piga mbili inatosha.by the way inaonekana huna shughuli za kukufanya busy

Mkuu nikianza cha kwanza najiskia kuendelea hivi kwan hili ni tatizo naombeni msaada na sio kama najisifia!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Dogo fanya application vivid entertainment watakuchukua fasta we huitaji Viagra
 
Wakuu habari,
Mimi mvulana wa miaka 23,nilichelewa kufanya mapenzi kwani nimeanza mwaka jana tu nikiwa na miaka 22.
Ni nani aliyekuambia kuwa umechelewa kuanza mapenzi, au umetumia katiba ipi kuyabainisha haya?

Sasa tatizo linalonisibu bila kwenda bao 6 na kuendelea sijiskii na baada ya bao la kwanza yanayofuata huwa nachelewa sana kukojoa at least dakika 20.
Pia napenda kujua umejuaje kwamba kwenda bao sita au zaidi ni tatizo?

Hili ni tatizo na je,linatibika?
Ukiweza kuniji swali la pili na kwanza...nitakusaidia kukujibu kitabibu...

Na kama ukishindwa basi thread yako nitaifananisha na TANGAZO LA BIASHARA!!
 
Labda bao za kuku maana nyeg.e za kuku akigusa tu tayari wazungu hawa, naungana na mdau juu hapo "DEBE TUPU HALIACHI KUPIGA KELELE" For promo only
 
Back
Top Bottom