Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.
Kwanza Rose mwenyewe unamsimamia mazoezi ya viungo?? Au unamlisha tu?? Unampa kila kitu anachotaka??
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.
Achana na hao mademu wa mboga saba utafulia mkuu.
ila mkuu tuache na utani hiyo avatar yako kiboko! LOL...:smile-big:
We acha tu.....:love::love::love:Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.
fikiria unakumbatiwa hivo deile...ukirudi home uko bwaksi:frog::frog:Daaah! Naona inakuzingua kinoma baba, kajaribu na wife hiyo staili uone atakavyokun'gan'gania umuongeze dozi
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.
hao walikuwa kibiashara zaidi na huwa wako sehemu kama hizo kusubiri mtu ajingonge kwao!Kumbe yamekukuta kichaa wangu,mi juzi kati nilienda San Ciiro nikakutana na wadada wawili tulisoma nao walikuwa wanakunywa soda, tukasalimiana nikakaa meza ya tatu na kumtuma waiter akawape vinywaji wakaagiza wine chupa na Savanna 4 jumla karibu elfu 40 nikashangaa hawa sijakuja nao nimefanya ustaarabu tu na walikuwa wanakunywa soda imekuwaje ?
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.
hao walikuwa kibiashara zaidi na huwa wako sehemu kama hizo kusubiri mtu ajingonge kwao!
demu wako wa kutoka naye home kama huwa humdanganyi na anajua kipato chako hawezi agiza vya juu bana!! ila kama unajigamba unazo.....!
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.
duh! pole sana, wanaweza wakawa na kazi zao lkn matumizi yao kwenye mavazi, vipodozi na vitu vingine yakawa juu so hela ya kukunua sijui martin, st anne, belgium nk nk nk hazipo, so mtu akijingonga tuu...... ndio yanakuwa hayoHawa ni wanawake wenye kazi zao nzuri tu,nilikuja na rafiki yangu wa kike.
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.
Jamani umeniamsha uwii, sasa ulitaka wanywe mbege au kibuku? Kama unajijua unavijipesa vya mawazo kilichokufanya utoke nao ha haaa wamekukomesha angalia usijeacha cm kaunta ha haaa.