Mamushka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 1,595
- 100
Lakini hii notion ya kwamba mwanaume ndio inabidi atoe offer imepitwa na wakati, watu ni kusaidiana na mtu akikupa offer sio kwamba unamkomoa ni ustaarabu tu..., kwahiyo kama unapenda wines etc sawa ila na wewe siku ukijisikia sio vibaya ukilipa fadhila... Hii notion ilikuwepo kipindi kile kina dada ni mama wa nyumbani, lakini sasa wote tunafanya kazi na wote tunalipwa, therefore we can all give offers
Kusaidiana kupo sana my dear but inategemeana mmealikanaje hiyo siku, kama ni mdada ndo kakwambia nataka nikutoe out hilo liko wazi atalipa. Pia kama ni mkaka kasema atalipa pia, kama mmetoana out ni vema mkachangia cost, amenichekesha alivolalamika. Ila ni kweli wadada wengine siku hizi akitolewa out anaagiza amarula, kama ni bia basi zile za kijani zile wakati akiwa mwenyewe hanywi sielewi labda wanakomoa.