Lady Janet
Senior Member
- Oct 9, 2016
- 167
- 161
Ubinafsi tunyie ndio mnasikia utamu zaidi ndio maana huwa mnausaka kwa hali na mali.
Dawa yao ni kuwakopa tu siku wakileta invoice unasepa
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
Wa hivyo huwa mnawatoa au mnakutana nao wapi nyie watu?
Au ni nyie wenyewe ndo huwa mna exude vibes za kupigwa mizinga?
Maana sie wengine ukituangalia tu unaona kabisa huyu hapigiki mizinga kirahisi rahisi!
Kwanza sijui ataanzia wapi tu kunipiga huo mzinga maana usoni tayari ntakuwa na expressive look flani hivi....
Hela ilivyo ngumu halafu mtu analeta bill zake za ajabu ajabu. NO NO
Sasa ww unaridhika kabisa...Mwanaume akutimizie mahitaji yakk wkt bado hajakuoa..halafu kwani ww kilema hata usifanye kazi kujitegemea...vilema wale wanaoendesha bajaji wanakuzidi ww kimaumbile??? Yaani ubategesha papuchi kama mdomo wa Mamba au kama kapu la kuombea pesa kwa mwanaume...fanya kazi,jimudu mahitaji yako kwa jasho lako mwenyewe..acha ubwege wa fikra..eti kuchepuka..jitegemer mwenyewe...tena ona dhambi kutegemea pesa ya wanaume kwa mtaji wa kiungo cha kati.Kupiga mizinga lazima nisipokuomba ww nimuombe nan?ndo hyo njia ya kuanza kuchepuka kwasbb hunitimizii mahitaj yangu..achen ubahil mkono mfup haulambwi.
Uzuri upi...akili chenga..mawazo yako tu yanaonesha uzuri zero..uzuri unanunurika??? Uzuri gani huo..kujidhalilisha tu..uzuri haununuriki..ukiona mtu ananurika kimapenzi...huyo sio mzuri bado .your lost.tumechoka na vilio vyenu si utafute kiatu cha size yako bhana mumezidi kuparamia size za wenzenu matokeo yake vinawapwaya mnaanza kulia lia hapa, vizuri gharama na usione vyang'aa vinagharamiwa huwezi pisha wanaojiweza.
Mungu akupe Neema uwe hivyo siku zote..hata mwenzake atambue thamani yako..Nashukuru Mungu kwa kunipa moyo wa kumpenda mtu kwa dhati na c kwa ajiri ya kumwomba chochote!
Sio soln..huyu anapigwa chini...baadaye yeye mwenyewe atajirekebisha..atakapoona age imesogea...tusikubali uozo huu uendee ati kisa wanamiriki papuchi..if men change...women will change too.Toa tu Mkuu maana hakuna namba. Lasivo jiandae na puchu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mxiew my ass, hustle for your ass [emoji1589]Mxiiieewww
Kila mtu ana type yake.. We unatamani vya almasi wakat vya 1500 vipoHahahahha...nimecheka sana
Daaaaaaaaah [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Unakutana na msichana mrembo anavutia kwa muonekano na angalau mnaendana mfano dini etc. Unaamua kuanzisha uhusiano nae kwa malengo ya kuwa mwenzio wa maisha (Mke).
Sasa kidogo anaanza kukuambia naomba uninunulie simu yenye whatsapp, mara naomba hela ya mchango wa kitchen party, mara naomba kod ya nyumba, mdogo wangu kafukuzwa shule hana ada, twende Zanzibar holiday.
Zote hizi ni hela daah! hapo hamna hata wiki mbili. Kwa style hii aisee mtatukosa. Sikatai kukusadia lakin isiwe too much jamani kumbuka na mimi nina dhiki na ndugu kama wewe!