Wasichana Warefu ni wazuri sana

Wasichana Warefu ni wazuri sana

Anyway leo nimekaa mahali penye umati wa watu wengi kidogo.

Katika kutizama kwangu, nikawa nimeishia kukagua maumbo ya wanawake na sura zao.

Hitimisho.
Kati ya wanawake 258 niliowatazama kwa kuwahesabu.

60 walikuwa warefu wa wastani-Wazuri wakawaida.

72 Walikuwa wafupi kidogo - Uzuri mchanganyiko (weupe na wanene kidogo) waliongoza kwa uzuri.

50 Walikuwa wafupi wembamba not attractive.

36 Walikuwa wafupi wanene wanavutia kidogo ila sio sana.

40 Walikuwa warefu, na wote walikuwa wazuri.

Nani alishaona mwanamke mrefu m'baya wa sura na umbo? (Hakuna)

NB: Urefu ni kuanzia FT 5.5 na kuendelea.

Anyway I have daughters, wife and my mothers. Tathmini hii inawahusu wote.
Betina
 
Una chicha lillokolea nazi but wanawake mostly wadhaifu Niko kwenye utafiti wa kusoma akili za mademu
 
Anyway leo nimekaa mahali penye umati wa watu wengi kidogo.

Katika kutizama kwangu, nikawa nimeishia kukagua maumbo ya wanawake na sura zao.

Hitimisho.
Kati ya wanawake 258 niliowatazama kwa kuwahesabu.

60 walikuwa warefu wa wastani-Wazuri wakawaida.

72 Walikuwa wafupi kidogo - Uzuri mchanganyiko (weupe na wanene kidogo) waliongoza kwa uzuri.

50 Walikuwa wafupi wembamba not attractive.

36 Walikuwa wafupi wanene wanavutia kidogo ila sio sana.

40 Walikuwa warefu, na wote walikuwa wazuri.

Nani alishaona mwanamke mrefu m'baya wa sura na umbo? (Hakuna)

NB: Urefu ni kuanzia FT 5.5 na kuendelea.

Anyway I have daughters, wife and my mothers. Tathmini hii inawahusu wote.
Toto kama hizi automatically ni nzuri tu.
 
Attachments

  • 20241027_214720.jpg
    20241027_214720.jpg
    64.1 KB · Views: 3
Urefu kwa mwanamke ni kigezo Mojawapo na cha msingi katika kutambua ulimbwende au uzuri wa mwanamke tangu enzi za mababu.
 
Ni kwa wanaume bana sio ke!

Nani Kakwambia hivyo?!
Ni kwa wanawake.
Tafuta kujua utakuja kuelewa badae.
Hadi mababu ukienda mjini na vijijini kawaulize “ eti mwanamke mlimbwende au mzuri anapaswa kuwaje ?
Watakwambia.
Haijaanza leo wala jana hiyo.
Pendeni kukaa karibu na wazee mtajifunza vingi.
Unamnunulia fegi, chupa ya mzani au boha au fanta anachotaka kisha piga nae story Halafu ukae mkao wa kuwa msikilizaji zaidi kuliko kuongea.

It is very unfortunate lakini hicho ndicho kilochopo kwenye jamii.
 
Sio wanawake warefu pekee yao ndo wanavutia,hata wanaume warefu nao wanavutia Sana.

Tatizo Mimi mwenyewe hapa Ni mfupi😥
 
Back
Top Bottom