Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

kuna mawili either huwa wanakua wanaume na ukipiga simu anampa mdada ambaye anakuwa amemset au ni wadada Wauza nyambi siku hizi digital huwa wanauza online hawajipangi road
 
seems mgeni mgeni mtandaoni, kuna watu kwa lugha ya mtaani tunawaita "madera" hawa ni wanaume wanatumia id za kike na kupiga vizinga wanaume wenzao.

kwenye social network za kitanzania ukiona tu mwanamke anapost picha picha za makalio, yupo tayari kutuma picha za utupu, anajibebisha kirahisi rahisi ujue hapo kuna walakini na kuna possibility kubwa ni mwanaume,

hakuna mwanamke mrahisi hivyo, mwanamke anapenda kusumbua sumbua na kuringa, hizo ndio sifa zao.
 
Si bora huyo 15000
Mimi niligundua mwanaume wa mtandaoni ukitaka umkatae kijanja mpe jiwe
huwa sikukatai ila ukisogea tu naanza na iphone [emoji23]
Wengi huishia matusi tu....mie roho yangu burudanii
Akufukuzae hakwambii toka! JIongeze dogo
Ukijitusu nakupa alaf nakupga mtng ujikut mabwepnd

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mapovu yanawatoka yaani kuna demu niliomba zigo akaelewa kutaka kupakua app akasingizia ngoja amalize pepa nikatulia siku....hiyo hiyo akaomba hela ya kusukia nikamkadiria nikampa kidogo baada ya siku kamaliza pepa nikaenda kumpitia chuo tukapitia kkoo kwenda home anasema hajajiandaa siku ingine mara bado mapema nikamwambia mbona khs vocha,hela ya kusuka hukusubiri upite mwaka ndo uanze kuomba?huku wiki moja nyuma kashaomba hela ya mkoba, bando la chuo ndo usiseme na mm kila alichoomba nikawa namwambia mwisho wa mwezi [emoji23][emoji23][emoji23] nilimtelekeza kkoo hata nauli sikumpa alitukana kinoma nikamwambia mbwa kala mbwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungmpiga mtungo ajutie njaa zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
seems mgeni mgeni mtandaoni, kuna watu kwa lugha ya mtaani tunawaita "madera" hawa ni wanaume wanatumia id za kike na kupiga vizinga wanaume wenzao.

kwenye social network za kitanzania ukiona tu mwanamke anapost picha picha za makalio, yupo tayari kutuma picha za utupu, anajibebisha kirahisi rahisi ujue hapo kuna walakini na kuna possibility kubwa ni mwanaume,

hakuna mwanamke mrahisi hivyo, mwanamke anapenda kusumbua sumbua na kuringa, hizo ndio sifa zao.
Nawaelewa ila wengne nawajua n mamanz nawachra tu...id za kiume nazjua wanarushiaga mademu walitrend na picha za uchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili uwe mwanaume kamili lazima uombwe hela na utoe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kabla sijaombwa nimesha toa tayari tena zaidi ya hiyo 15...
280316.jpg
 
Ndo zao siku mbili tu kibomu wwe siku mbili mbili ukiomba mchezo anakwambia mbona unaharaka Sanaa. Ni shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Washenzi kweli ila mm ndo zangu naomba leo mzigo akikubali siku hiyo hiyo maaana pesa inatafutwa akiwaka basi aitunze atapewa mshahara mwisho wa mwezi...akikupiga kibomu halafu usile mzigo anajisifia kwa wenzie eti kuna boya kaliwa ***** nani awe mfano? Toa uliwe tu
[emoji23][emoji23][emoji23] mapovu yanawatoka yaani kuna demu niliomba zigo akaelewa kutaka kupakua app akasingizia ngoja amalize pepa nikatulia siku....hiyo hiyo akaomba hela ya kusukia nikamkadiria nikampa kidogo baada ya siku kamaliza pepa nikaenda kumpitia chuo tukapitia kkoo kwenda home anasema hajajiandaa siku ingine mara bado mapema nikamwambia mbona khs vocha,hela ya kusuka hukusubiri upite mwaka ndo uanze kuomba?huku wiki moja nyuma kashaomba hela ya mkoba, bando la chuo ndo usiseme na mm kila alichoomba nikawa namwambia mwisho wa mwezi [emoji23][emoji23][emoji23] nilimtelekeza kkoo hata nauli sikumpa alitukana kinoma nikamwambia mbwa kala mbwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama ana shida kuombwa 15000 unatangaza ukiombwa mil si utafunga mtaa. Mbna pum**bu Zako zikibana unaomba show huangalii muda mliokutana wewe utakuwa wakiume sio mwanaume.
Kipenzi.
Hivi huoni quote zangu?
Nitafute pm tuongee
 
Back
Top Bottom