Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

Hao wengi ni machangu wamehamia huko badoo. Kuna wachache sana unaweza kuwapata wanaojitambua.

Kuna mmoja nilikutana naye siku ya kwanza tu kaomba laki kadai anataka akanunue simu. Nikampa. Tumekutana siku ingine hana cha simu wala nini na sasa anataka laki 2!!

Nikapiga chini fasta. Huwa ananitafuta hadi kesho mwaka wa saba sasa. Akili mbovu kabisa.
 
Kuna Dada nilikutana nae humu Jf..Siku yapili tu akaomba nimsaidie laki tatu na nusu nikaona hiii sasa hatariiiii
 
Si bora huyo 15000
Mimi niligundua mwanaume wa mtandaoni ukitaka umkatae kijanja mpe jiwe
huwa sikukatai ila ukisogea tu naanza na iphone [emoji23]
Wengi huishia matusi tu....mie roho yangu burudanii
Akufukuzae hakwambii toka! JIongeze dogo
Haha
 
Back
Top Bottom