Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

Si bora huyo 15000
Mimi niligundua mwanaume wa mtandaoni ukitaka umkatae kijanja mpe jiwe
huwa sikukatai ila ukisogea tu naanza na iphone [emoji23]
Wengi huishia matusi tu....mie roho yangu burudanii
Akufukuzae hakwambii toka! JIongeze dogo

Teh umevujisha siri eh
 
Uwii dadake nimebanwa jaman hadi nakosa muda wa kukukumbuka
Ila soon ntakuwa free ntakukumbka adi unichoke
Msalimie ukhty
Zimefika kaka ake.

Pole sana kaka nimekuona nkashindwa kupita kimya kimya. Pia usijali kaka.
 
Hali ni mbaya zaidi kuliko maelezo ,,,,!
d668240e5216a37afcf4357c22fa37c7.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsanteeee funguka baba mwaka huu lazma walale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
c753a990067b3dcaac14e39e9a2cc218.jpg


Yaani hapo kuchat nae tu kanipiga mzinga. Na wapo wengi sana kwenye Badoo. Kama kila siku akiomba wanaume watano elfu 10 kila.mmoja manake ana kipato kikubwa kuliko mwalimu mkuu!

Majibu yangu mwenyewe alikubali akapotea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wezi hawa nyamaa inabd tuwafanyie kitu mbaya mtungooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
c muwe mnatoa tu jamen ...uchoyo huo
Kutoa sio tatizo, bali kubali kwanza kusukumwa tope[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
 
Kutoa sio tatizo, bali kubali kwanza kusukumwa tope[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
ha ha haaaa
 
Hii kitu ni mbaya sana bora kuwakazia hivyo hivyo maana hawana jema hawa viumbe, akiomba ukamtumia ukimaliza siku 3 anakuja kivingine na dau linapanda usipompa hata hatokutext tena na pia anayekuomba tambua haombi kwako tu hivyo ukisema unatoa ili ukakamue mzigo waweza kutana na mzigo uliokongoroka kichizi. Nakaribisha povu

sent from my Tecno W3
 
Yani wanaume wanazidi kupungua kwa kasi sana wanabaki wavulana tu

Kama uwanaume ni kugawa pesa hovyo basi wanaume wamepungua. Yaani serious sister mmekutana siku ya kwanza, mkabadilishana namba. Then next day bila hata mazoea kiviile unaanza kuomba pesa.?

Yaani hata mwanamke awe smart vipi thamani yake inashuka machoni kwa mwanamme.
 
Back
Top Bottom