BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 3,477
- 7,085
Duuh kwa hiyo shule ndo umefundishwa role ya mwanaume ni kuhonga eehh?Vivulana viko vingi! Wanaume hawalii ku-provide.
Ukiweza kujibu the meaning of being a men. ...hutarudia kuleta na kujaza seva kwa maneno yasiyona mashiko.
ROLE YA MWANAUME NI NINI? ?Ndiyo maana mashoga NI wanaume wasiojua majukumu ya kiume.
Kama unaona huwezi subiri ukiwa mwanaume ndipo utafute mwanamke. ..acha uasherati subiri ukioa ambapo NI umri sahihi wa uanaume hutaona shida kumuhudumia mwanamke kwani automatically utaprovide na wala hutaona kwamba siyo kazi yako
Basi vizur