Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Nooo sikumblock mimi na aliblock yeye na labda aliofia ntamuanzishia status, wakati sina hizo tabia kabisaVibaya hivyo best yaani na block juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nooo sikumblock mimi na aliblock yeye na labda aliofia ntamuanzishia status, wakati sina hizo tabia kabisaVibaya hivyo best yaani na block juu.
Ooh. Ameshajua siku hizi baadhi wanaume hawana vifua vya kuhifadhi jambo hivyo akaamua kujiongeza.Nooo sikumblock mimi na aliblock yeye na labda aliofia ntamuanzishia status, wakati sina hizo tabia kabisa
Ni mrembo sana tu na ni mfanyakazi na alijua ntapiga mascreen shot nipost but tabia za kijinga uwaga sina hizoOoh. Ameshajua siku hizi baadhi wanaume hawana vifua vya kuhifadhi jambo hivyo akaamua kujiongeza.
Kumbe hajakujua kwamba best we mzungu unamnyima halafu maisha yanaendelea. [emoji2]
Hongera zako best.Ni mrembo sana tu na ni mfanyakazi na alijua ntapiga mascreen shot nipost but tabia za kijinga uwaga sina hizo
Na huyo mwanaume akiwa na genye aende kwa mama ake sio kulialia mitandaonKama anashida aende kwa babaake anasema kabisaa nataka 15000 utafikiri kaziweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha utanisaidia dada ake au ndio utapita kama hunioni???Jiandae mdogo wangu. [emoji23] [emoji23]
Ntakusaidia mdogo wangu na haijawahi tokea dada mie nikamuacha mdogo wangu.Hahahahaha utanisaidia dada ake au ndio utapita kama hunioni???
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Mie mzima wa afyaaaa,Ntakusaidia mdogo wangu na haijawahi tokea dada mie nikamuacha mdogo wangu.
Mzima lakini?
Namshukuru mungu inakwenda vizuri nipo nyumbani naimalizia malizia mdogo wangu.Mie mzima wa afyaaaa,
Vipi weekend lakini.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] me sio mtu wa mitoko dada hua natoka kwa sababu.... most of the time nakua tu home watching movies with friends or alone baasi tu.Namshukuru mungu inakwenda vizuri nipo nyumbani naimalizia malizia mdogo wangu.
Japokuwa najua mdogo wangu kwa upande wako ndio kwanza unawaza pa kwenda kuimalizia jumapili yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] me sio mtu wa mitoko dada hua natoka kwa sababu.... most of the time nakua tu home watching movies with friends or alone baasi tu.
Mualiko wa biriani veeeep.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Hahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23] mie ntakuwa na gundu sijawahi itwa mume[emoji13]We unasema 10,000! Chipsi kuku na soda unatoboa mboga, yaani wallah kipindi hiki kama hujaitwa mume basi una gundu, yaani unakutana na mtu sasa hivi jioni unasikia mume upo wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Najaaaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kama hivyo hapo sawa mdogo wangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikajua ushasahau mdogo wangu kumbe bado nakukaribisha sana sana sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Karibu sanaNajaaaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Umekomaaa now bigup[emoji106][emoji106]Ila Jamani mjue baadhi ya wanawake wanatuponza wanawake wote tunaonekana ovyo sana kiukweli tusitetee ujinga mpaka sasa ndoa zimekuwa mtihani mwanaume anashindwa kujua yupi kitabia anamfaa mwanaume anakutongoza Jamani hamjuani hamjaonana unakimbilia kuomba pesa kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije sometimes hatakama mwanaume alikuwa anania yakweli anakudharau Mimi siku zote nipo upande Wa wanawake wenzangu nikweli wanaume nimatapeli ila hii mwanaume kakufwata mambo poa unaomba hela anaweza akakupa akakuita akakutafuna ndoimetoka mwaname mvutie kasi kidogo nasio unamuomba direct unaji Fanya kuingizia kitu chako kimekwama unawaza utakisove vip yeye mwenyewe atajiongeza mpaka unamuomba mwanaume pesa mshakaa ata miez 3 au unajua mwanaume Wa kibongo wengi hawajui kutenga bajeti kila mwezi kumpa mwenzi wake mpaka waombwe Mimi kiukweli Jamani wanawake tubadilikeni sometimes tunajitakia kuzalauliwa Jamani mwanamke unambembesha mzigo mwanaume kama mzazi wako Mimi mwanaume kunihonga kila siku sitaki bwana ela unayonipa yamatumizi nifungulie genge ela izunguuke matumiz yatatoka hapa kiukweli mwanaume atakuona una akili sana kama anauwezo anakufumgulia kila siku vibomu mtu hatakukujulia hali inafika hatua anaogopa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umekomaaa now bigup[emoji106][emoji106]