Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

Una uhakika gani kuwa ni wasichana? Wengine ni wanaume wenzio!
 
Sasa kama ana shida kuombwa 15000 unatangaza ukiombwa mil si utafunga unaomba show huangalii muda mliokutana wewe utakuwa wakiume sio mwanaume.
Afadhali useme kiazi nikisema muhogo mchungu mie
 
Nitakufa na shiida zangu lakinii sii kumlilia shida mwanaume wa mtandaoni... Wengi wana dharau halafu huwa wanadhani kila mwanamke aloko mtandaoni ni mhuni sijui, huwa nashindwaga kuelewa....
Hivi dada kwani me na wewe tunaendana jaman kwa kila kitu hivii ndio mana ujue tunapendana lia shida zako kesho unakutana na bango lako
 
Hao viumbe ni pasua kichwa (kama ukiwaendekeza) dawa ni kuwaambia ukweli tu, kwamba hali na mahitaji yako binafsi yamekutinga, so kubebeshana mizigo mingine, hakuna anaependa at this moment....!!

Waombe Mungu, pamoja na kuvuta subira, Kiongozi wetu mpendwa, anyooshe hali ya mambo kwanza.....!!

Yale maisha ya kusaidiana kwa Moyo na Roho za Ubinaadamu uliyo vuka Mipaka, mpaka kupeleekea Raia kutoka nchi nyingine kutushangaa, Dada zetu msahau kidogo maisha hayo...!

Pesa imekuwa ngumu mnoooo..!
Mtawafanya watu waibe kwa sababu yenu.

Punguzeni mizinga na vibomu visivyo na Kichwa wala Miguu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama ana shida kuombwa 15000 unatangaza ukiombwa mil si utafunga unaomba show huangalii muda mliokutana wewe utakuwa wakiume sio mwanaume.
Aombe 1 mil kwani papuchi yake inatibu ukimwi???
 
Hivi dada kwani me na wewe tunaendana jaman kwa kila kitu hivii ndio mana ujue tunapendana lia shida zako kesho unakutana na bango lako
Nafikiri hivyo mdogo wangu... Nitalala njaa lakinii sio kujitangazia shiida kwa mwanaume tena nisiemjua... Ni wepesi saaana kuwabandika wenzao humu lakini sijuagi kwa nini wanawake hatujifunzi jamanii
 
Mimi upande wangu najua wanahitaji kama sina ctoi,nakama ipo natoa lakini target yangu inakuwa palepale.Sema wengine wanapiga kizinga na mchezo hamna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri hivyo mdogo wangu... Nitalala njaa lakinii sio kujitangazia shiida kwa mwanaume tena nisiemjua... Ni wepesi saaana kuwabandika wenzao humu lakini sijuagi kwa nini wanawake hatujifunzi jamanii
Kweli aisee na wengine sie masikini jeuri dada acha tufe na shida zetu acha wanaoomba waanikwe kila siku hawajifunzi tu humu
 
Ila nadhani kiboko ya yote ni madem wa fb khaah!!! too much babaake....
afu gia zao ni hizo hizo umeme umekatika na nywele zangu zimefumuka kesho natakiwa kwenda chuo smart.... lol

Itabidi wabadili style maana hizo kama zimechokwa hiviii.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
asee,hizo bahati za kuombwa pesa mbona huwa hazinikuti
 
Luqman mohamedy

Imekuchoma wewe muomba papuchi, kuombwa 15000 unakuja kuhoroja Jf
Kuna comment moja hapo juu imejibu vizuri juu ya namna mtoto wa kike anayejirahisi rahisi na vibomu vya aina mbalimbali ambavyo hudhoofisha "muhu" ya wanaume wahitaji wa kweli.
Matokeo yake ni kuishia kuzeekea na kuzalia nyumbani.
Mwanamke ghali ni yule "mgumu".
Ninamaanisha mgumu wa kukubali kiurahisirahisi, mgumu wa kutoa hazina yake, mgumu wa kuombaomba.
Wanaume walio wengi humpima mwanamke kwa vijitabia vya ajabuajabu kama hivyo vya kuwa kabla hamjazoean ama kuanzana, tayari vibomu vya kijingajinga vinaanza.
Unadhania kwa mwendo huo mnaweza mkafika mbali?
Zamani nilikuwa ninajiuliza, hawa dadapoa hupataje wanaume na akili zao kwa mwendo ku-hire "k"!
Nikaja kugundua baadaye kuwa hao ni wazuri kwa kuwa wakweli na hawasumbui. Maana mnapanga hadi bei na muda wa kukodisha.
Siyo hawa wanaojifanya waungwana kumbe ni malaya wa kutupwa!.... Pptuuu.
 
Hivi dada kwani me na wewe tunaendana jaman kwa kila kitu hivii ndio mana ujue tunapendana lia shida zako kesho unakutana na bango lako
Nakuhitaji ww binti nikubadilishie maisha yako
 
Back
Top Bottom