Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

Nami huwa nashindwa kuwaelewa wanaume wa humu?

Yaani humu wee cheka , taniana sepa...usilete mazoea nao! Sijui exchange what'ssup contacts ujinga ujinga tuu

Kuna mdada maarufu kadhalilishwa kweli humu juzi kati ndo nikaona dooh! Si kwa mchorano ule!

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ni kweeeli my dear.... Kila siku najifunza jipya humu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mapovu yanawatoka yaani kuna demu niliomba zigo akaelewa kutaka kupakua app akasingizia ngoja amalize pepa nikatulia siku....hiyo hiyo akaomba hela ya kusukia nikamkadiria nikampa kidogo baada ya siku kamaliza pepa nikaenda kumpitia chuo tukapitia kkoo kwenda home anasema hajajiandaa siku ingine mara bado mapema nikamwambia mbona khs vocha,hela ya kusuka hukusubiri upite mwaka ndo uanze kuomba?huku wiki moja nyuma kashaomba hela ya mkoba, bando la chuo ndo usiseme na mm kila alichoomba nikawa namwambia mwisho wa mwezi [emoji23][emoji23][emoji23] nilimtelekeza kkoo hata nauli sikumpa alitukana kinoma nikamwambia mbwa kala mbwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Oyoooooo!!! hizo ndio zenyewe!!!
 
Wanapungua kwa kasi sana mnabaki wavulana tu
He he he niombe radhi, 'wanabaki' sio 'mna'! Am past that, as a man sio ungoje kuombwa, you figure it out and try your best kumpendezesha your woman!!
 
Si bora huyo 15000
Mimi niligundua mwanaume wa mtandaoni ukitaka umkatae kijanja mpe jiwe
huwa sikukatai ila ukisogea tu naanza na iphone [emoji23]
Wengi huishia matusi tu....mie roho yangu burudanii
Akufukuzae hakwambii toka! JIongeze dogo
Twende kwenye kundi letu la whatsapp tukapige story...
 
Mimi nilishazoea hiyo hali...huwa napiga kimya.
 
buku kumi mpk 50 si hela ya soda tu hiyo huwezi mind km unataka papuchi,ila kweli wamezidi mizinga,kuna chotara mmoja nafatilia akanipiga mzinga ooh nitumie 10 nna shida,hapo hatujaonana.nikamwambia 10 sio tabu chukua bajaj ntalipa njoo uchukue mwenyewe.akatosa
Na ukafikiri atakuwa chotara kweli wakati unakuta ni Juma Mabaga wa Magomen katengeneza hiyo profile na kujidai mdada ili awalie wajinga wajinga pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom