Wasichojua watekaji. Kule Nepal walikuwa active kuliko huku nchi ya kusadikika. Kilipowaka walitokomea kusikojulikana

Wasichojua watekaji. Kule Nepal walikuwa active kuliko huku nchi ya kusadikika. Kilipowaka walitokomea kusikojulikana

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,528
Reaction score
6,856
Kuteka na kuua raia ndo final stage ya utawala kuanguka maana baada hakuna option inayobaki.

Siku wananchi hawa mnaotuita makondoo wakichoka, hao watekaji hutowaona popote.
 
Utawala wowote unategemea polisi unakuwa una jichimbia kaburi. Hata Kikwete mwenyewe alisha lisema hili.
Ninachomkubali kikwete alikuwa akiambiwa ukweli anajishusha anakuwa muungwana na kukubali kuwa mpole.

Ila bi mkubwa sasa, utadhani wale watoto waliolelewa na bibi. Ubishi tu.

Watu wanasema hii si sawa,ile si sawa, hiyo si sawa. Yeye sasa,anaona kama ile ikulu pale ali irithi kutoka kwa babu zake so hatakiwi kupangiwa.
 
Kuteka na kuua raia ndo final stage ya utawala kuanguka maana baada hakuna option inayobaki.

Siku wananchi hawa mnaotuita makondoo wakichoka, hao watekaji hutowaona popote.
Usilinganishe Nepal na Nebure. Hapa kwetu, bure kabisa. Wote ni wasanii tu wanaotawaliwa na kutumiwa na wasanii uchwara waitwao CCM au chama cha matapeli
 
Back
Top Bottom