Ninachomkubali kikwete alikuwa akiambiwa ukweli anajishusha anakuwa muungwana na kukubali kuwa mpole.Utawala wowote unategemea polisi unakuwa una jichimbia kaburi. Hata Kikwete mwenyewe alisha lisema hili.
Usilinganishe Nepal na Nebure. Hapa kwetu, bure kabisa. Wote ni wasanii tu wanaotawaliwa na kutumiwa na wasanii uchwara waitwao CCM au chama cha matapeliKuteka na kuua raia ndo final stage ya utawala kuanguka maana baada hakuna option inayobaki.
Siku wananchi hawa mnaotuita makondoo wakichoka, hao watekaji hutowaona popote.
Indeed, it surely will. And so be itTime will tell for sure