Wasichokijua WCB fanbase yao ni kuwa kwa sasa Harmonize ndio Star wa movie na wao wapo upande wa adui. Diamond kaamua kutumia silaha ake kabla ya muda

Wasichokijua WCB fanbase yao ni kuwa kwa sasa Harmonize ndio Star wa movie na wao wapo upande wa adui. Diamond kaamua kutumia silaha ake kabla ya muda

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
497
Reaction score
592
Aisee katika watu wanavita Kali na haijawah kuwepo ni Harmonize. Fikiria anapambana na fanbase aliehusika pia kuwatengeneza. This is a total war. And trust me a hero have never died in the middle of the movie.

Harmonize is going to win this battle . Just soon ...very soon. Diamond silaha yake kubwa ILIYOBAKI ni ALBUM . Humo kaweka Wizkid... Davido... Rema... Alicia keys.... . Hiyo silaha hakutarajia na Wala hakupanga kuitumia mapema hivi. Ilibidi zuchu, na lavalava watoe album ndo atoe hiyo album. Imebidi avunje ghala la silaha.

Asichokijua ni kuwa kwa Sasa he is not playing the hero part, kwa Sasa the hero part is Harmonize. Watu hawaamini kuwa Harmonize ataweza kupokea kijiti na hicho ndo kinachmpa nguvu zaidi. He is more than ready ....na hapo bado official chid na kill hawajatoa album. Time will tell. Mnaodhani Harmonize anamcopy diamond mmefeli. He is modifying all the strategies that made diamond who he is today. Kuna wimbo kwenye highschool album inaenda kuushangaza ulimwengu. Isipotrend dunia basi ni Africa.

Ni zaidi ya fall ya davido.
 
Harmonize kawa hero kwa lipi la kumzidi Diamond
Ukifuatilia kila anachokifanya Harmo Diamond alishafanya, mpaka ma x wa Diamond ndio anaosumbukanao Harmonize.
Diamond ameenda Congo kwa kofii na yy kafunga safari kwa Awilo na sasa tunamsubilia America maana huko sie tushapita.
Kumbuka vionjo vya album hotolewa na wasanii woote duniani kabla ya albam yenyewe kutoka.
 
Streaming tu anakimbizwa na wasanii wa kawaida,unaizungumzia FALL ya Davido Itunes pekee yake mauzo yake ni 500k.

Mwaka jana ulituambia AfroEast itakuwa zaidi ya African Giant ya Burnaboy na ukatuambia kishabook ukumbi O2 ila cha ajabu hujatuambia mauzo ya hiyo album wala show ya O2 arena.

Acha mda uongee kama album kali itaonekana,mziki mchezo wa wazi.

Screenshot_20210424-195109.png
 
Aisee katika watu wanavita Kali na haijawah kuwepo ni Harmonize. Fikiria anapambana na fanbase aliehusika pia kuwatengeneza. This is a total war. And trust me a hero have never died in the middle of the movie. Harmonize is going to win this battle . Just soon ...very soon. Diamond silaha yake kubwa ILIYOBAKI ni ALBUM . Humo kaweka Wizkid... Davido... Rema... Alicia keys.... . Hiyo silaha hakutarajia na Wala hakupanga kuitumia mapema hivi. Ilibidi zuchu, na lavalava watoe album ndo atoe hiyo album. Imebidi avunje ghala la silaha. Asichokijua ni kuwa kwa Sasa he is not playing the hero part, kwa Sasa the hero part is Harmonize. Watu hawaamini kuwa Harmonize ataweza kupokea kijiti na hicho ndo kinachmpa nguvu zaidi. He is more than ready ....na hapo bado official chid na kill hawajatoa album. Time will tell. Mnaodhani Harmonize anamcopy diamond mmefeli. He is modifying all the strategies that made diamond who he is today. Kuna wimbo kwenye highschool album inaenda kuushangaza ulimwengu. Isipotrend dunia basi ni Africa. Ni zaidi ya fall ya davido.
Harmonize yupo vizuri tatizo anataka kila too fast.... mtaka yote kwa pupa hukosa yote.
 
Kwani Vita ya Domo na kiba iliisha ndo imeingia tembo na domo, mbona hata sielewi
 
Harmonize yupo vizuri tatizo anataka kila too fast.... mtaka yote kwa pupa hukosa yote.
Hapana lazima aende fast. Kuna Vita inahtaji mahamuzi ya haraka. Lazima content zitengenezwe ili aweze kutimiza dhamira yake. Hizo tuzo Harmonize anaenda kuzibeba just wait. It's very soon... Kumbuka insue ya streams ni fanbase na jamaa anatengeneza fanbase.
 
Streaming tu anakimbizwa na wasanii wa kawaida,unaizungumzia FALL ya Davido Itunes pekee yake mauzo yake ni 500k.

Mwaka jana ulituambia AfroEast itakuwa zaidi ya African Giant ya Burnaboy na ukatuambia kishabook ukumbi O2 ila cha ajabu hujatuambia mauzo ya hiyo album wala show ya O2 arena.

Acha mda uongee kama album kali itaonekana,mziki mchezo wa wazi.

View attachment 1764134
Kumbe n mzeewa propaganda
 
Domo hajawah kuwa na Vita na kiba. Isipokuwa diamond na WCB walimtengeneza kiba kuwa ghost adui ili wabanie wasanii wapya kuchomoza. Bahati Harmonize ametoka Kule anatambua hizo plans zote so Cha Kwanza akadestroy hilo bifu la uongo lililokuwepo. Ndo maana mpaka Sasa team wasafi wanapambana ionekane Kuna team kingkiba pekee. Wameshajua dhamira ya Harmonize siyo kumpita diamond Bali ni kupokea kijiti. Bila aibu tumekaa tunafurahia miaka zaidi ya kumi Sasa tunalazimisha msanii wa kutuwakilisha nje awe mmoja tu.
Kwani Vita ya Domo na kiba iliisha ndo imeingia tembo na domo, mbona hata sielewi
 
Hapana lazima aende fast. Kuna Vita inahtaji mahamuzi ya haraka. Lazima content zitengenezwe ili aweze kutimiza dhamira yake. Hizo tuzo Harmonize anaenda kuzibeba just wait. It's very soon... Kumbuka insue ya streams ni fanbase na jamaa anatengeneza fanbase.
Okay ila lazima utambue kuna mashabiki wa Diamond na wanaomchukia Diamond. Soma hiyo sentence vizuri ndio maana nikasema yupo too fast atengeneze fan base yake, wanaomchukia Diamond sio mashabiki wataenda na yeyote ambae wanaona anatrend.
 
Domo hajawah kuwa na Vita na kiba. Isipokuwa diamond na WCB walimtengeneza kiba kuwa ghost adui ili wabanie wasanii wapya kuchomoza. Bahati Harmonize ametoka Kule anatambua hizo plans zote so Cha Kwanza akadestroy hilo bifu la uongo lililokuwepo. Ndo maana mpaka Sasa team wasafi wanapambana ionekane Kuna team kingkiba pekee. Wameshajua dhamira ya Harmonize siyo kumpita diamond Bali ni kupokea kijiti. Bila aibu tumekaa tunafurahia miaka zaidi ya kumi Sasa tunalazimisha msanii wa kutuwakilisha nje awe mmoja tu.
Hapo mkuu nimekuelewa, thanks, maana nilikaa najiuliza chanzo Cha bifu zao ni Nini ila tu nisipate jibu sahihi
 
Hapo mkuu nimekuelewa, thanks, maana nilikaa najiuliza chanzo Cha bifu zao ni Nini ila tu nisipate jibu sahihi
Usichokijua ni kuwa kabla ya diamond na wasafi kuanzisha hizo system zamani msanii yoyote alikuwa akitoa wimbo mzuri unahit. Ndo maana wakawepo akina Marlaw', dullysyke, kiba, matonya, z Anto, best naso, fuatilia baada ya WCB kuweka mzizi utagundua labda Mario kidogo na nandi . Na hao ruge ndo alimastermind ... Inshort ukikaa na Harmonize unapata data zote kuhusu mbinu za WCB . Kwasasa wameanza kutengeneza mfumo wa kuabudiwa na wasanii nje ya lable yao coz wanamiliki media . Hakuna kitu kinawauma Kama Harmonize kutoka na kuanzisha kondegang huku anajua mbinu zoteee. Tena wao WANAFAHAMU ramani yote ya Harmonize mpaka jinsi atakavyotake over . It really pains them but they don't know what to do.
 
Natamani Marlaw arudi kwenye game maana ngoma zake zimetulia sana
 
Kwenye huu wimbo bwana Harmo alichomfanyia H baba sio poa, kampigisha vigeregere mwanzo mwisho hata hajaimba chochote.

Kiufupi ni kwamba hizi nyimbo ambazo vijana wetu wameimba na hawa wakongo Hazina maajabu bali zinabebwa na ukubwa au umaarufu wa wasanii.

Waah, ni kelele tu
Attitude, nikelele tu
Nahisi Nandi na kofii angalau wao ndo wameimba. Msanii maarufu (sio mkubwa) H baba alipaswa kuonyesha maajabu humo maana yeye ni mtu wa maboringo ila kapiga vigeregere na kukatika baaas
 
Back
Top Bottom