Wasichokijua wengi kuhusu Israel

Wasichokijua wengi kuhusu Israel

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,362
Reaction score
48,879
Wayahudi ni jamii iliyopigana vita vingi kuliko jamii yoyote.

Kabla ya Masiha, Wayahudi walitumia vita kama uthibitisho wa Mungu kuwa pamoja nao. Walipotenda sawa na mapenzi ya Mungu, waliwapiga maadui zao, tena kwa irahisi. Walipokengeuka, walipoenda vitani, walipigwa, na hata kuchukuliwa mateka na kupelekwa utumwani.

Kumepiganwa zaidi ya vita 100 kugombea mji wa Jerusalem pekee.

Mara baada ya Umoja wa Mataifa kutangaza rasmi uwepo la Israel, kumepiganwa vita 9.

Kwa myahudi, vita imekuwa ni sehemu ya maisha. Wayahudi ni watu wanaotajwa kuwa ni jamii yenye high IQ. Gunduzi nyingi za kisayansi zimefanywa na jamii hii. Jamii hii ya Wayahudi, inashikilia maeneo muhimu ya tekinolojia na biashara huko Marekani na Ulaya.

Wakati wayahudi waliopo Israel ni milioni 7.2 waliopo Marekani pekee ni milioni 7.5. Na hawa waliopo USA siyo watu hohehahe, wengi wao wanashikilia maeneo muhimu. Hiyo ndiyo sababu ya Marekani kudai kuwa daima itasimama na Israel. US inalipa fadhila, kwani hawa wayahudi wana mchango mkubwa sana wa maendeleo ya Sayansi, tekinolojia na biashara kwa Marekani na Ulaya.

Uimara wa jeshi la Israel kwenye vita unachangiwa sana maendeleo ya tekinolojia, uwezo mkubwa wa akili na uzoefu wa miaka mingi katika masuala ya vita.

Wasiojua, wanaamini kuwa Israel imekuwa tishio kwa Iran na makundi yake ya kigaidi kwa sababu inasaidiwa na Marekani. Jambo ambalo siyo kweli. Marekani inaisaidia Israel zaidi kwenye masuala ya kifedha, lakini siyo kwenye mbinu au utaalam wa vita. Kwenye utaalam wa vita, Israel ina uwezo wa kuifundisha Marekani.

Kwenye bajeti ya mwisho ya Marekani ya kuzisaidia Israel na Ukraine, Israel ilipata dola bilioni 60, Ukraine ilipata dola bilioni 90. Je, Ukraine iliyopata msaada mkubwa zaidi, imeweza kuisambaratisha Urusi?

Israel wamesema wazi kuwa wakati wowote Iran itakapofanya maendeleo kuelekea kutengeneza silaha za nuklia, itaenda kuipiga bila ya kusubiri maamuzi ya UN.

Vita ngumu kwa Israel ni hiyo ya Hamas kwa sababu inapiganwa ndani ya nchi yake, na kwenye maeneo yenye mjazano mkubwa wa raia. Lakini jeshi la Iran likisema liingine vitani na Israel, bila ya kujificha kwenye makundi ya raia, kama wanavyofanya Hamas, humkini Iran itapata pigo la kushangaza. Kauli ya balozi wa Iran UN inathibitisha hofu ya Iran kupigana na Israel. Balozi wa Iran UN, alizungumza kwa unyonge mkubwa akisema kuwa Iran inataka amani, wakati ni hii nchi ya Iran ndiyo ilikuwa ya kwanza kuwa na itikadi inayosema Wazayuni hawatakiwi kuwepo Duniani.

Israel kwenye vita dhidi Hezbolah itashinda kiurahisi kuliko dhidi ya Hamas. Makundi ya kigaidi yaliyoundwa na Iran, yanachukiwa na serikali zote za nchi za kiarabu. Pia mataifa ya kiarabu yana uhusiano wa kinafiki na Iran, kwa sababu ya Iran kutengeneza makundi ya kigaidi ili yaziondoe Setikali zote zinazoongozwa na Sunni muslims. Hata kundi la Hezbolah kule Lebanon lina uhasimu na Serikali, na linaungwa na baadhi tu ya waislam wa shia. Hivyo wala si ajabu, serikali ya Lebanon kutoa taarifa za kiintelijensia kwa Israel.

Kwa hali inavyoendelea, na kauli ya Rais wa Iran kwenye umoja wa mataifa, ni wazi Iran inataka ifanye kama ilivyofanya Misri. Misri baada ya kuongoza mashambulizi mara kadhaa dhidi ya Israel na kuishia kupigwa vibaya, mwaka 1979, iliomba kuwa na uhusiano wa kibalozi na Israel. Toka wakati huo hakujawahi kuwepo na vita baina ya Misri na Israel. Iran nayo inaonekana ima hamu ya kuitafuta hiyo njia, baada ya kuona njia ya mapigano na Israel, ni sawa na simba akiwa ndani ya maji kutaka kupigana na mamba.

"After several Arab-Israeli wars, Egypt was the first Arab state to recognize Israel diplomatically in 1979 with the signing of the Israel-Egypt Peace Treaty. It was followed by Jordan with the Israel-Jordan Peace Treaty in 1994. In 2020, four more Arab states (the UAE, Bahrain, Morocco and Sudan) normalized relations."

Pia soma: Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS
 
Ntasimama daima na Israel🇮🇱 . Katika yale makabila 12 ya Israel, 10 yalipotea, yakabaki makabila 2 tu... kabila la Yuda na la Benjamin, yanayotembeza kichapo mashariki ya kati. Viva Israel 🇮🇱, viva wayahudi, viva uzao wa Ibrahim kupitia Isaka
 
Wayahudi ni jamii iliyopigana vita vingi kuliko jamii yoyote.

Kabla ya Masiha, Wayahudi walitumia vita kama uthibitisho wa Mungu kuwa pamoja nao. Walipotenda sawa na mapenzi ya Mungu, waliwapiga maadui zao, tena kwa irahisi. Walipokengeuka, walipoenda vitani, walipigwa, na hata kuchukuliwa mateka na kupelekwa utumwani.

Kumepiganwa zaidi ya vita 100 kugombea mji wa Jerusalem pekee.

Mara baada ya Umoja wa Mataifa kutangaza rasmi uwepo la Israel, kumepiganwa vita 9.

Kwa myahudi, vita imekuwa ni sehemu ya maisha. Wayahudi ni watu wanaotajwa kuwa ni jamii yenye high IQ. Gunduzi nyingi za kisayansi zimefanywa na jamii hii. Jamii hii ya Wayahudi, inashikilia maeneo muhimu ya tekinolojia na biashara huko Marekani na Ulaya.

Wakati wayahudi waliopo Israel ni milioni 7.2 waliopo Marekani pekee ni milioni 7.5. Na hawa waliopo USA siyo watu hohehahe, wengi wao wanashikilia maeneo muhimu. Hiyo ndiyo sababu ya Marekani kudai kuwa daima itasimama na Israel. US inalipa fadhila, kwani hawa wayahudi wana mchango mkubwa sana wa maendeleo ya Sayansi, tekinolojia na biashara kwa Marekani na Ulaya.

Uimara wa jeshi la Israel kwenye vita unachangiwa sana maendeleo ya tekinolojia, uwezo mkubwa wa akili na uzoefu wa miaka mingi katika masuala ya vita.

Wasiojua, wanaamini kuwa Israel imekuwa tishio kwa Iran na makundi yake ya kigaidi kwa sababu inasaidiwa na Marekani. Jambo ambalo siyo kweli. Marekani inaisaidia Israel zaidi kwenye masuala ya kifedha, lakini siyo kwenye mbinu au utaalam wa vita. Kwenye utaalam wa vita, Israel ina uwezo wa kuifundisha Marekani.

Kwenye bajeti ya mwisho ya Marekani ya kuzisaidia Israel na Ukraine, Israel ilipata dola bilioni 60, Ukraine ilipata dola bilioni 90. Je, Ukraine iliyopata msaada mkubwa zaidi, imeweza kuisambaratisha Urusi?

Israel wamesema wazi kuwa wakati wowote Iran itakapofanya maendeleo kuelekea kutengeneza silaha za nuklia, itaenda kuipiga bila ya kusubiri maamuzi ya UN.

Vita ngumu kwa Israel ni hiyo ya Hamas kwa sababu inapiganwa ndani ya nchi yake, na kwenye maeneo yenye mjazano mkubwa wa raia. Lakini jeshi la Iran likisema liingine vitani na Israel, bila ya kujificha kwenye makundi ya raia, kama wanavyofanya Hamas, humkini Iran itapata pigo la kushangaza. Kauli ya balozi wa Iran UN inathibitisha hofu ya Iran kupigana na Israel. Balozi wa Iran UN, alizungumza kwa unyonge mkubwa akisema kuwa Iran inataka amani, wakati ni hii nchi ya Iran ndiyo ilikuwa ya kwanza kuwa na itikadi inayosema Wazayuni hawatakiwi kuwepo Duniani.

Israel kwenye vita dhidi Hezbolah itashinda kiurahisi kuliko dhidi ya Hamas. Makundi ya kigaidi yaliyoundwa na Iran, yanachukiwa na serikali zote za nchi za kiarabu. Pia mataifa ya kiarabu yana uhusiano wa kinafiki na Iran, kwa sababu ya Iran kutengeneza makundi ya kigaidi ili yaziondoe Setikali zote zinazoongozwa na Sunni muslims. Hata kundi la Hezbolah kule Lebanon lina uhasimu na Serikali, na linaungwa na baadhi tu ya waislam wa shia. Hivyo wala si ajabu, serikali ya Lebanon kutoa taarifa za kiintelijensia kwa Israel.

Kwa hali inavyoendelea, na kauli ya balozi wa Iran kwenye umoja wa mataifa, ni wazi Iran inataka ifanye kama ilivyofanya Misri. Misri baada ya kuongoza mashambulizi mara kadhaa dhidi ya Israel na kuishia kupigwa vibaya, mwaka 1979, iliomba kuwa na uhusiano wa kibalozi na Israel. Toka wakati huo hakujawahi kuwepo na vita baina ya Misri na Israel. Iran nayo inaonekana ima hamu ya kuitafuta hiyo njia, baada ya kuona njia ya mapigano na Israel, ni sawa na simba akiwa ndani ya maji kutaka kupigana na mamba.

"After several Arab-Israeli wars, Egypt was the first Arab state to recognize Israel diplomatically in 1979 with the signing of the Israel-Egypt Peace Treaty. It was followed by Jordan with the Israel-Jordan Peace Treaty in 1994. In 2020, four more Arab states (the UAE, Bahrain, Morocco and Sudan) normalized relations"
Vp kuhusu na Congo nao ambao ndugu zenu wanauliwa na kutumikishwa na hao hao waisrael? Nao wakae kimya tu?
 
Ntaaimama daima na Israel🇮🇱 . Katika yale makabila 12 ya Israel, 10 yalipotea, yakabaki makabila 2 tu... kabila la Yuda na la Benjamin. Viva Israel 🇮🇱, viva wayahudi, viva uzao wa Ibrahim kupitia Isaka
Ashkenazi ambao wanaua watu sasa hivi si kabila lolote la Israel bali hao Wanaouliwa yaani Wapalestina, Lebanon, Syria ni katika wana Wa Israel, pamoja na makundi mengine kama Samaritan, Mizrahi jews na to some extent sepharadic jews.
 
Kwa hiyo huyo Mungu watu wake ni waisrael tu?

Na huyo Mungu alikubali waisraeli waue hayo mataifa mengine ili yeye apate kuthibitishwa?

Aisee huyo Mungu wa waisraeli ni wa hovyo sana.

Huyo Mungu hafai kabisa ni muuaji anapaswa kufurushwa.

Hizi hekaya muwe mnawasimulia wajukuu zenu huko nyumbani.
 
Ashkenazi ambao wanaua watu sasa hivi si kabila lolote la Israel bali hao Wanaouliwa yaani Wapalestina, Lebanon, Syria ni katika wana Wa Israel, pamoja na makundi mengine kama Samaritan, Mizrahi jews na to some extent sepharadic jews.
Ashkenazi ni waisraeli acha ujinga soma torati
 
Kwa hali inavyoendelea, na kauli ya balozi wa Iran kwenye umoja wa mataifa, ni wazi Iran inataka ifanye kama ilivyofanya Misri. Misri baada ya kuongoza mashambulizi mara kadhaa dhidi ya Israel na kuishia kupigwa vibaya, mwaka 1979, iliomba kuwa na uhusiano wa kibalozi na Israel
'Kama huwezi kupigana nao ungana nao..'
Mwishowe Mujahideen wa JF watajikuta wamebaki wenyewe tu wakipigana kupitia keyboard
 
Israel wamesema wazi kuwa wakati wowote Iran itakapofanya maendeleo kuelekea kutengeneza silaha za nuklia, itaenda kuipiga bila ya kusubiri maamuzi ya UN.
Iran ilipo washambuliwa kwa makombora walienda kuipiga ?

Achana kwanza na project ya Nyuklia Iran ambayo wanaiendeleza licha ya vikwazo vya magharibi maana kichwa chako kimeazimisha akili
 
Back
Top Bottom