Wasichokijua wengi kuhusu Israel

Siku zote nilikuwa nikidhani kuwa wewe Erythrocyte ndiyo Boni Yai. Sasa ndiyo nimejiridhisha kuwa siyo yeye, maana Boni Yai yuko ndani lkn nyuzi za Erythrocyte hazikatiki.
Hata watekaji na CCM wote waliamini hivyo, Sasa jambo hili nadhani ndio linaonyesha ukubwa wa kikosi cha Chadema, si rahisi kuimaliza, ishatapakaa kuliko Kansa ya damu
 
Tatizo unasoma bila kujifikirisha.

Hujui jinsi Mungu anavyoweza kuwabariki au kuwaadhibu wanadamu. Mungu aliweza kuwadhibu jamii fulani kwa kupitia jamii nyingine. Mathalani, Mungu aliweza kuiangamiza jamii fulani iliyomkufuru kwa kupitia vita. Jamii inasimama dhidi ya jamii nyingine kupigana vita, kisha jamii iliyomkufuri Mungu inaangamizwa. Hata wayahudi walipomkosea Mungu, kuna wakati walivamiwa na maadui, walipigwa vibaya na kuchukuliwa mateka. Lakini wao kwa sababu walimtegemea Mungu, ilipotokea hivyo, waliamini kuwa ni lazima wamekwenda kinyume na mapenzi ya Mungu, ndiyo maana wameingizwa kwenye vita, wakapigwa, na kupelekwa utumwani.
 
Iran ilipo washambuliwa kwa makombora walienda kuipiga ?

Achana kwanza na project ya Nyuklia Iran ambayo wanaiendeleza licha ya vikwazo vya magharibi maana kichwa chako kimeazimisha akili
Iran iliposhambulia Israel kwa makombora na drones zaidi ya 300, na kumjeruhi myahudi mmoja, Israel ilijibu kwa kuteketeza mtambo wa kurushia makombora ndani ya Iran, Iran ikaamua kutulia. Kumbuka shambulio lilifanywa kwa ndege, na ndege ilirudi salama.
 
Wee jamaa sijui unaandika nini hiki
 
Acha mboyoyo za kindezi hapa kuwapamba hao machoko,unadhani unajadiliana na ndezi wenzako humu sio ? unajua nini wewe kuhusiana na gunduzi za sayansi na teknolojia wewe ?
Unajua Iq ya Koreans au Japanese wewe ?
Jews hata hawamo kwenye top five list ya most intelligent ethnics Kwa taarifa yako , acha ushamba wa mapastor feki wenu hao , mko brainwashed kama zombies , mazafakaz you can't even think on your own .
Unaweza kutuwekea idadi ya scientific discoveries patents za mazayuni hapa ina comparison na ethnics za white Caucasians WA kijerumani ,English ,Dutch ,French .
Japanese, Indians ,Chinese nk throughout history mpaka sasa ?

Unajua ni idadi ngapi ya scientific discoveries zimefanywa na wachina
 
Haya majamaa yana akili sana.

Kipindi Yakobo (Israel) amerudi Kaanani toka uhamishoni kwa mjomba wake Labani, akirudi na wake zake pamoja na watoto. Kuna kijana mmoja mtoto wa mfalme akajipendekeza na kumbikiri mtoto wa Yakobo. Kisha akaenda kuomba aoe kabisa. Watoto wa kiume wa Yakobo waliporudi to machungani na kukuta hizo taarifa wakasema huyu jamaa fala sana yaani anamtendea dada yetu kama kahaba. Ngoja tuone.

Basi wale watoto wa Yakobo wakawaambia ninyi hamtairi magovi yenu, mkitaka kuoa dada zetu tairini magovi yenu. Basi amri ikapita katika ule ufalme wanaume wote watairi magovi yao. Siku wametairiwa, jamaa wakawaacha siku kadhaa vidonda vikomae, halafu wakachukua mapanga na kwenda kuwauwa wote kwa kosa la kimharibu dada yao. Yaani hata Yakobo baba yao aliogopa kwa yaliyofanywa na watoto wake.

Kwahiyo hawa jamaa qana akili ya kipigana toka zama zile.

Kumbuka pia mwenye jina la Israel yaani Yakobo alipigana mieleka na malaika na akashinda, leo Ayatollah au Nasrallah unategemea atamshinda Yakobo?
 
Waarabu nao hawana akili wanalazimisha vita wasivyo na uwezo navyo..wamezidiwa kila kitu ila bado wapo tu..

mimi ningekuwa na uwezo wa kushauri iran na nchi zinazoipinga Israel ningewaambia hivi..wakati ni ukuta ukishindana nao utakupiga tu.. kwa sasa mbabe wa dunia ni marekani ambaye mshirika wake mkuu ni Israel..sasa hapo huwezi kutoboa

wangejiimarisha kwenye uchumi km china au india then waache kazi ya kumtoa Israel kwa vizazi vijavyo huko..

kipindi cha othuman empire au ottoman empire ilikuwa rahisi sana kuwaondoa hapo maana mturuki alikuwa na nguvu na mbabe dunia zima lakini kwa vile wamerudi sasa wawaache maana wamerudi na nguvu kubwa mara 100 zaidi yao..

Waarabu Wasubili wakati sahihi wanakurupuka sana kwa jazba.
 
Hakuna nchi inaogopwa duniani kama Iran kwa makombora ya nyuklia iliyonayo na godfathers wake China, Urusi na India ambao juzikati wametamka wazi ukiigusa Iran watakuja na wao.

Hata Iran waliporusha makombora Israel na yakatua Marekani waliionya Israel isijibu na ikaufyata mkia, haikujibu kwa vita bali inasidikika ilimuua tu Rais wao tu.

Mleta Mada nakushauri jifunze zaidi kuhusu uhasama wa Iran na Israel. Bado huna taarifa za kutosha. Hii ni vita ya tembo wawili sio tembo na swala. Ni vizuri kufahamu pia kuwa hata Lebanon hawawezi kuingia maana wameshajaribu vita mara nyingi na wakauawawa sana mpakani na kukimbia wanachotegemea ni mashambulizi ya anga na si ground invasion sababu wanapoingia kivita Lebanon Syria, Iraq na Lebanon huwachangia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…