Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Uzi wa namna hii, nauandika leo kwa mara ya pili...
Nikweli unamtunza, unamlisha, unamvisha n.k, lkn kumbuka, Nayeye anaouwezo wa kujifanyia hayo .
Usimchukulie Poa, Usimdharau akajua, Usimsaliti akajua na ikitokea amejua jitahidi tu kutumia hata uongo unaojua kumplz , Usimfanye ajione hana thaman, usifanye ajione sio mzuri ...
Kwa ivo chunga Maneno na matendo yako wakati wote wa Furaha au Hasira zako.
Mbona wakati wa Upenzi, ulikua unamfukuzia sana,unaliaa, anakusumbuaa, Haya mmeona, mmezaa ,ndo sasa ubadilike na kumchukulia poa???
Wasifieni uzuri wao, wasifien jitihada zao,sifia mapishi, anavyokupangia nguo, anavyokupikia, anavyokugusa, sifia tuuu
[emoji117]Kwenye kusema naishia hapo
[emoji116]
Hizi hapa Chini ni baadhi ya Jumbe kadhaa za Wanawake waliopo kwenye Ndoa zao ambazo ni Ndoano.
1-- G baada ya kuolewa na kuzaa, mume wangu akabadilika, akanifanya nijione sifai, mpaka nmekuja kukutana nawewe kipindi chote hiko sikua na furaha, Ahsante sana Baba yangu kwa Kinifanya nijione Mwanamke.
2--- Dear, nina elimu, Kazi na Maisha mazuri, lkn sikuwah kuyaona yana raha baada yakuolewa, Mume amebadilika ,kiasi kwamba nilishindwa hata Kujijali mwenyewe, Nakupenda G umekuja maishan na sasa najihisi nmekamilika.
3[emoji117]G, nmemuomba sana Mungu, nmemuuliza uliruhusu Ndoa hii ili niteseke? Na nitaendelea kuteseka mpaka lini? Najua namkosea ila namm ni mwanamke nahitaji Furaha na Amani, miaka zaidi ya saba ndoani bila Amani wala Furaha, G ahsante sana Rafiki yangu kwa mapenzi unipayo sasa.
4[emoji117] Wewe ndio Umenifanya kwa sasa Najiamini sana aisee, I love you G . Huyu Mwanaume hakuwah hata kuuona uzuri wangu
5[emoji117]Unajua alinifanya kama Boya , vituko vyake na makusudi yake yalinifanya niwe mjinga, lkn sasa nmestuka, sina time naye tena, sasa nipo nawewe My G.
6-- Kaniambia anasafiri ila mimi kwa sasa sina hamu naye kwa sababu ya vituko vyake alinifanya nijion mbaya,alifanya niachane na mitandao yakijamii, nilishindwa hata kua najipost mitandaoni. Ila toka nmekupata wewe G, mpaka siku hizi ananiuliza, mbona siku hizi Unajipost sana?
[emoji116]
Ni mengi yaivo
Point yangu nayohitaj muondoke nayo, hata km unachepuka, Asijue, hata kama unachepuka, hakikisha Unamuheshimu, Hata iweje ,hakikisha Unamsifiaa. Ajione kama yeye ndio mwanamke pekee aliyekukamataaa , aliyekuwezeaaa, kwamba wee ni bwege kwakeeeee , wee msifie tuuu Man, Kubaliana nayeee hata anapokua anaonyesha ufaham mdogo wa jambo fulan.
Wanawake ni kama watoto wadogo, haijalishi ana Umri gani, ila Akili zao ni sawa na za watoto ... Umewah jiuliza kwann mtoto mdogo ,kitu chake ni chake, atakililia , atahitaj umsifie? Atahitaj mbele ya watoto wenzake ,umuonyeshe kua unampenda sanaaaa? Kwa leo naishia hapa..
Mkitoa mapovu mtoe..ila tutakutana kwenye Uzi wetu pendwa wa Kula Tunda Kimasihara bila hata kutoa Hela zaidi ya Porojo na kusifia sifia tuu [emoji23]
Hela unayompa kwa Masimango, mwenzio anapandia BUS kumfata Mwanaume anayemliwaza.