Brigadier Isaac
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 495
- 1,436
Mwana saikolojia mmoja wa chuo cha kikuu cha princeton marekano alisema
dalili ya mtu asiye jitambua yeye ni nani huwa na hulka kupenda sifa na huwa rahisi kirubuniwa kama atasifiwa tu kwa sababu yeye haoni thamani yake mpaka asifiwe(hajiamini)
Mara nyingi watu kama hutapeliwa na kutumika kwamasrahi wengine kutokana kuwa mlevi wa sifa.
ni rahisi kusaliti mtu kwa ajili ya sifa tu mfano mzuri mama yetu eva alimsaliti adamu kwa ajili ya sifa tu alizopewa na nyoka ndio hadi leo shetani huwatoa binadamu kwenye furaha yao kwa njia ya sifa maana hata yeye ndio kilichomtoa mbinguni,
hii iko sawasawa na mwanamke aliyeolewa ambaye anajua kabisa mpaka mwanaume amekuoa amekuheshimu sana maana kuna wanawake wengi tu wapo nje wanatangatanga bila ndoa lakini mwanamke huyu kwa vile akili yake haifanyi kazi vizuri bila sifa bila ya kujua matapeli wengi huanza na sifa.
Pia kipimo cha upendo kwake ni mtu kumsifia basi huanza kumuona aliyemuheshimu kwa mchagua miongoni mwawanawake maelfu ni mpumbavu asiyemthamini na asiye na mapenzi ya dhati basi huanza kuwafata hao matapeli wake hapa ndipo udhibitisho kuwa watu wanaopenda sifa ni brain washed
Mtoa mada mimi kwa maoni yangu ni bora udili na akili yake ili ajimbue thamani yake bila hata ya kusifiwa kuliko kumpa hizo sifa maana siku unaweza pata ajali ukaumia mdomo ambayo itakubidi ukae mwaka moja katka hali ya ububu ili upone halafu mke wako anakutana na strangers huko mtaani wa kimsifia sidhani kama utaokoa kitu ikiwa mke wako ni mlevi wa sifa
Wanasaikolojia wanakuambia
"TAKE THEIR BRAINS LEAVES THEIR BODIES"