Wasifieni Wanawake zenu...

Wasifieni Wanawake zenu...

Mi nasifiaga hadi huwa anakibofu kizuri lkn hanipi! Nishamsifia mpk seli zake za damu lkn ndo kwanza ananiambia "kenzy we kaongo" haitoshi nishamsifia hadi vichunusi vyake kuwa vinaota kwa mpangilio nikajibiwa "toka hapa!"
Mwengine nikamsifia mpk jipu lake kuwa limeota pazuri! Nilipigwa na sufuria lilikuwa na dawa yake ya kujikandia na jipu lilikuwa limeotea kwapani..[emoji51][emoji51]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] eti KENZY we kaongo.

Sema watu wafupi hamuishi vituko[emoji28]

(Joke)
 
Duh, huyo ambaye ,,unamwona siyo mzuri kivile'' ni Mke wako au girlfriend?
haaa kuna ile mwanamke sio dem wako wala nn, labda ni mfanyakazi mwenzako n.k

Lkn ndio kuna ile hali ya kua namwanamke nabado isiondoe ukweli kua sio mkali kivile.


Hawa wote wee sifia tu, umfanye ajiamini.
 
Na ukiwasifia Sana wanakuona boya..
Hayo Mambo Mimi siyawezi..
Wanawake zangu kuona tu meno yangu nikicheka wanashangaa maana uwa sicheki nao mwendo wa kununa tu.
Na Wananipenda sanaa
 
Mimi mwanamke Ila sipendi kusifiwa na kusifiwa huko hakunibadilishi kitu,nakukubali the way I'm and I don't need extrnal validation. Kuna sifa najua tu huyu muongo
Me nakukubali sana naota uwe wangu,sijui nifanye nini ili upate kunielewa cariha
 
Back
Top Bottom