KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Baby unatembea Kama twiga..😅Mimi mwanamke Ila sipendi kusifiwa na kusifiwa huko hakunibadilishi kitu,nakukubali the way I'm and I don't need extrnal validation. Kuna sifa najua tu huyu muongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baby unatembea Kama twiga..😅Mimi mwanamke Ila sipendi kusifiwa na kusifiwa huko hakunibadilishi kitu,nakukubali the way I'm and I don't need extrnal validation. Kuna sifa najua tu huyu muongo
[emoji23][emoji23][emoji23] nakwambia twiga ana nafuu akitembeaBaby unatembea Kama twiga..[emoji28]
Kweli siongopi Cariha,Nshateseka sana scout nlizofanya zimeprove failure hadi nimekata tamaa labda mimi sikuumbiwa hizi baraka,[emoji23][emoji23][emoji23]wewe singasinga oooh
Umesema kitu kizito sana wanaume chukueni hii point.
Umeteseka na nini?Kweli siongopi Cariha,Nshateseka sana scout nlizofanya zimeprove failure hadi nimekata tamaa labda mimi sikuumbiwa hizi baraka,
Lakini nikiangalia hapa naona tumaini kubwa juu yako.
Wewe ni mwanamke na nusu.
Na hapa ndo wazee wa kucheza na hisia zao wanapowalaga kimasiharaWanawake wanapenda masikio yao kusikia sifa nzuri.
Tena ukiona kuna sehemu anajishtukia msifie sehemu hiyo hiyo utampa confidence na kuwa huru!
Wewe ni wawili ktk mia i thinkMimi mwanamke Ila sipendi kusifiwa na kusifiwa huko hakunibadilishi kitu,nakukubali the way I'm and I don't need extrnal validation. Kuna sifa najua tu huyu muongo
Teh sifa zimeanza teyariSawima nakukubari sana yani post na comment zako zinafanyaga nione ww ni msichana flani unayejielewa na mcheshi pia, mitazamo yako inafanya nihisi ww ni aina tunayeweza kubond na kuenjoy muda pamoja, natamani sana nikuone nje ya jf nikupe sifa zako[emoji849]
Inaweza kuwa hivo Yani sipendi oooh, labda na shidaWewe ni wawili ktk mia i think
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora umefeli kuliko ungekuwa una sifia kumbe moyoni ana kutukanaHii sekta ya kusifia nilishafeli mazima. Siwezagi kusifia kinafiki, na siwezagi kusifia visivosifiwa
Nasifiaga uhalisia tu. Na nikisifia sirudiagi kusifia the same thing every now and then, yaan naona kama vile it's boring to her and even more boring to me.
Hii sekta nina zero kabisaaa
Lengo likiwa ni nini?Karma , hapa hatujadili uongo bana
Tunajadili kile mwanamke anachofaa kusikia
Nimeteseka sana na mahusiano ya kimapenzi nliyoyapitia mpaka muda huu japo sio mengi ila hata hayo machache yamekua tofaut na matarajio kwa kiwango kikubwa.Umeteseka na nini?
Na vtu gani vimefeli huko,
Umenifuraisha hapo pa mwanamke na nusu
Mapenzi ni changamoto kwa wengi kwa dunia ya Sasa maana watu wanaangalia vtu mtu alivo navyo matokeo yake ndio hyo too much fakeness. Sikuhizi ni rahisi kupata wanawake/ wanaume wa kugegedana Ila ni ngumu kupata real love kabisa.Nimeteseka sana na mahusiano ya kimapenzi nliyoyapitia mpaka muda huu japo sio mengi ila hata hayo machache yamekua tofaut na matarajio kwa kiwango kikubwa.
Moja ya vitu vilivyofeli ni kuwa sipati mwanamke mwenye passion na mimi kutokea moyoni zaidi ya kufanyiwa maigizo.
Ndio, kwa muda nilokuona hapa jukwaani kuna vitu unaandika naona kabisa mwanamke kama wewe ndie nnaemuota kila siku(hamzaliwi mara nyingi)bahati mbaya sikuwahi kukutana naye kabla.
HahahaSawima nakukubari sana yani post na comment zako zinafanyaga nione ww ni msichana flani unayejielewa na mcheshi pia, mitazamo yako inafanya nihisi ww ni aina tunayeweza kubond na kuenjoy muda pamoja, natamani sana nikuone nje ya jf nikupe sifa zako[emoji849]
Yaan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora umefeli kuliko ungekuwa una sifia kumbe moyoni ana kutukana