Wasifieni Wanawake zenu...

(Nilikula tunda kimasihara jf ) Singasinga naona hii title inamuogopesha@cariha
Kweli asee! nafahamu sio rahisi kabisa kwa binti aina yake kuniamini kwa mazingira haya tulokutana
Natamani hata tungekutana nae sehemu nyingine labda angenielewa,but i cant change her mindset iwaze hapa ni church or wherever.
 
Wanawake wanapenda masikio yao kusikia sifa nzuri.

Tena ukiona kuna sehemu anajishtukia msifie sehemu hiyo hiyo utampa confidence na kuwa huru!
Naomba kukazia hapa mkuu.

Jambo muhimu sana hili.

Tena wakati mwingine hujishusha labda kwa kusema "kupika kwemyewe hata sijui vizuri wali siupatii " sasa wewe hapa sio umsapoti enhee umeona eeee,wali huupatii bwana hapo alikuwa anatega ili ajijue kama anajua ama laa,akijishusha na kujikosoa mwambie tuu mbona unapika vizuri sana wali ila tu ndo kawaida ya wapishi wazuri huwa kila wakipika waanaona bado,wali mzuri huu mke wangu kama kuivisha si ni suala la kurekebisha tu kidogo.

Basi hapo kesi klozdi
 
Sijasoma yote ni ndefu inaumiza. Subiri kwanza, ati kama huna pesa sifia sifia tu mwanamke ataingia mtego? Ati sifia heleni? Ati sijui sifia upotolo gani? Aiseee labda kama mkeo, ila mpango kando jipange tena.
Naomba niwe nakusifia.

Anza na miguu mama.

#YNWA
 
Sasa mkuu unanishaurije hapa? Unafikiri hii kitu inaweza fanya kazi? Naombeni mchango wenu wadau

 
Kwa hiyo ni kama serikali ya awamu hii[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bado sana , afu we mtoto mtakuchapa
Mi nitakusifia kwa mistari ya Wimbo uliobora.
Mistari wa 5 unasema:- ""Malkia wangu Israel tambua kuwa nakupenda, una miguu kama zabibu za milima ya wakorintho na ngozi kama sufi""

Mi mkubwa banaa miaka zaidi ya 30πŸ˜‰πŸ˜‰

#YNWA
 



KENZY Apo ulitisha mkuu😁😁
 
Mi nitakusifia kwa mistari ya Wimbo uliobora.
Mistari wa 5 unasema:- ""Malkia wangu Israel tambua kuwa nakupenda, una miguu kama zabibu za milima ya wakorintho na ngozi kama sufi""

Mi mkubwa banaa miaka zaidi ya 30πŸ˜‰πŸ˜‰

#YNWA
Miaka zaidi ya 30 kuda wa kuimba unautoa wapi? Kawaimbie watoto wa sekondari dogo acha ujinga aisee.πŸ˜€
 
Miaka zaidi ya 30 kuda wa kuimba unautoa wapi? Kawaimbie watoto wa sekondari dogo acha ujinga aisee.πŸ˜€
Banaaa..
Wimbo uliobora ni kitabu katika biblia.
Kiliandikwa na mfalme wa mapenzi (Nabii Suleiman). Aliandika akiwaimbia mabinti ya Israel.

Mi mtu mzuri kwako.
Maana mnahitaji mwanaume mwenye hofu ya Mungu na kwangu imejaa teleee.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…