Wasifieni Wanawake zenu...

Wasifieni Wanawake zenu...

Aaahhh kumbe hadi PM kafunga ?.

Kuna mawili na moja ndio jibu sahihi.

1-Ni mwanamke kweli , Komaa tu ivoivo kimtindo ,awe ameolewa au hajaolewa siku hizi wanawake wanahuruma sana , na kwakua huruma i ndan mwao atajistukia tu atakuPM

2-Ni Mwanaume mwenye Kivuli cha uanamke , hata ufanye vipi ,utazungushwa tu, Sanasana akikuPM ataanza yeye kukuomba Picha, Kukuomba namba zako lkn hakutafuti.

Unajua JF inamambo mengi sanaaaaa , ni bora hata FB, huko utakuta mapicha kadhaaa yake, yasipokuwepo utakuta marafiki zake ambao ukiwatumia unapata taarifa, utakuta vitu anavyopenda n.k

Ila humu JF, mamaaeee , Unaanzaje MPAKIA MKONGO DEMU USOMJUA???.. HUO NI USHAMBA!!.
Dah! umenena vema sana

Ngoja nisikilizie kama kuna maajabu yeyote yatatokea,ila angejua nnavomfikiria
Asingejiuliza mara mbili

All in all me ntaendelea na kazi yangu ya muziki kama alivonena Bamboo kwenye moja ya nyimbo zake.
 
Chini ya Jua hamna mwanamke Anayejiamin iwe katika Uzuri wake wa sura na umbo, Upishi, Mavazi, ufanyi kazi wake uko kazin, majukum ya nyumban n.k ..

Kwa haraka Ukimchukulia mwanamke kama kiumbe anayebeba Nyumba nzima, ni wazi kua nayeye hana hakika kama kila jambo kalifanya 100% inavyotakiwa.

Wanawake wanapenda KUSIFIWA KUSIFIWA KUSIFIWA , wanapenda Juhudi zao zionekane na kuthaminiwa, wanapenda michango yao nakila kitu kionekane kwako na ukitambue na yeye ajue wazi kua UMEKUBALI

Niivi , Anaweza kweli kua na Sura nzuri au Umbo zuri ,LAKIN KUNA KIUNGO ANAKICHUKIA SANA NA HANA HAKIKA NA UZUR WA KIUNGO Hicho ..mfano Anaweza simama kwa Kioo akajitazama juu chin ,alafu akachukua Pua yake.. Au matit, au Mguu, au Nywele, au Sikio, au Vidole n.k ....

Nawapa SIRI moja.

Kama huna Hela au Una hela ... Weee tanguliza kusifia tu , msifie anavyonukia, msifie Uzuri wake, sifia Saa alovaa, sifia Helen mwambie kabisa zimependesha masikio yako, Sifia macho yake, Sifia Pua, Sifia mguu, sifia makalio, sifia kiuno chake

Wee sifia tu.

Hata km ni mnakutana kazin... Wee msifie mara mnapokutana.. Sifia alivyopendeza, sifia anavyonukia, sifiaa sifiaa tu ,alafu SIFIA UCHAPAJI KAZI WAKE ,sifiaaa sifiaaa tu

Kama ni Mkeo nyumban sifia tu anavyokupikia, sifia anavyowajibika, sifia alivo mtamu kitandan, sifia tu uzuri wake ,msifiee msifieee

YAAN WEE MFANYE AAMINI KUA HAPA DUNIANI ,YEYE NDIO MWANAMKE PEKEE ALIYEKUWEZA, ALIYEKUKAMATA KISAWASAWA.....
Hata kama ana uchumi wake binafsi ( ACHA KUSHOBOKEA UCHUMI WAKE ) Wee sifia tu juhudi zake, sifia tu anavyopambana na maishaaaa.

Sheria ni ngumu ila ni sheria, KUMSIFIA MWANAMKE ni kitu kidogo sana ambacho Hakigharimu kitu, lkn Faida yake ni kubwa Sanaaaaaaaaaaa
Nahizi ni baadhi

Kumla Kimasihara kama sio demu wako

Yeye ataachana na michepuko mingine ili mradi tu keshajua ana mwanaume kamkamatia kisawasawa.

Hata usipomuhonga Pesa ,yeye karidhika tu ili mradi anajua keshakukamata ...( hapa wee utapaswa tu kumuelezea mipango yako , nakwakua wanaishi kwa ndoto badi ataridhika)

Kama umemuoa ndo kabisaa atakupa mambo matamu sana kuanzia kitandan, mapishi, na mahitaji meeengi ukiwa kama Mume wake.

.....Sifiaa Sifiaa Sifiaa

.....Jiaminiii ,onyesha una ujasiri ..( wanawake wanapenda mwanaume jasiri ).

....Kua Kijana Nadhifu wa Mwonekano.

Na mengine mengi kutegemea na aina ya Mwanamke.!!.

NB..SIFA IZO LAZIMA ZIAKSI VILE UNAVYOJISIKIA WEWE..

mf.. Wee Mwanamke jamani hayo macho yalivyo mazuri , nikikutizama tu huwa najikuta nmekua dhaifu ghafla,

KAMA ni demu wako, nyoosha maelezo kabisaa

............."najikuta nmekua dhaifu ghafla hadi mbooo hunisimama "[emoji23]

KAMA hujawah mtongoza, unamtaka au unataka kumla kimasihara.....

............"najikuta nmekua dhaifu ghafla ,kiasi kwamba huwa nawaza siku moja nikae nawee mahali patulivu tukiwa wawili, niyatizame hayo macho yako wakati unafika kileleni huwa yanakuaje!!
Watu wanasifia maendeleo ya nchi ww unasifia kalio la mwanamke wtf
 
KWA kweli sijawa reject kiasi ni hangaike na wanaume wa humu kichwani tu hamnazo hawana mbele Wala nyuma watajifanya wananipenda then wasambaze taarifa humu za uongo ili waonekane vidume vishenzi, then niki comments waanze matusi kwa ma I'd yao mengine na matusi juu as if Mimi ndio nimewaambia wawe na life ngumu. Kuna mjinga mmoja walianzisha trend ya kunitukana kwa I'd tofauti kisa ninacho comments hata hawapendi kwenda huko tafta taarifa za uongo kufuraisha waja wa humu wakifikiria Nita quit JF kwa kunishambulia na kuweka ya JF, ndio Kwanza nazidi kudunda humu sijali la Yesu Wala la mswalia mtume msimamo wangu uko palepale, I won't change na ningekuwa navulia watu kyupi humu wangeshapata sababu sasa hawana, watazidi kuniona tu humu Mimi ka nilivo ndimu mkata shombo.

So pia JF sikuhizi imevamiwa na wapuuzi tofauti na huko nyuma mijadala iliheshimiwe hakukuwa na kutukanana mods waliondoa kila tusi na personal attack ili sikuhizi kupo kupo tu watu Wana ma stress yao ya life.
Dah Mimi nitaendelea kuwa yule yule nisiyeogopa mtu humu na msimamo wangu ule ule, na hao wanaume wasiojielewa ka wanajiamini wangenifata kweli sio kuhangaika na ma I'd mia humu
Dea plz kanywe 1 baridiiiiih, nakuja kulipa.
 
Komaa tu mwana .

Hata kama Moyo umetangulia hakikisha umebeba Ubongo wako kiganjani ili ubalansiiii.

Life tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na hizo ndo kanuni zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakua ameshapata changamoto kubwa kutoka humu so ku unblock firewall aloiweka
Mpaka serikali iingilie kati.
 
Chini ya Jua hamna mwanamke Anayejiamin iwe katika Uzuri wake wa sura na umbo, Upishi, Mavazi, ufanyi kazi wake uko kazin, majukum ya nyumban n.k ..

Kwa haraka Ukimchukulia mwanamke kama kiumbe anayebeba Nyumba nzima, ni wazi kua nayeye hana hakika kama kila jambo kalifanya 100% inavyotakiwa.

Wanawake wanapenda KUSIFIWA KUSIFIWA KUSIFIWA , wanapenda Juhudi zao zionekane na kuthaminiwa, wanapenda michango yao nakila kitu kionekane kwako na ukitambue na yeye ajue wazi kua UMEKUBALI

Niivi , Anaweza kweli kua na Sura nzuri au Umbo zuri ,LAKIN KUNA KIUNGO ANAKICHUKIA SANA NA HANA HAKIKA NA UZUR WA KIUNGO Hicho ..mfano Anaweza simama kwa Kioo akajitazama juu chin ,alafu akachukua Pua yake.. Au matit, au Mguu, au Nywele, au Sikio, au Vidole n.k ....

Nawapa SIRI moja.

Kama huna Hela au Una hela ... Weee tanguliza kusifia tu , msifie anavyonukia, msifie Uzuri wake, sifia Saa alovaa, sifia Helen mwambie kabisa zimependesha masikio yako, Sifia macho yake, Sifia Pua, Sifia mguu, sifia makalio, sifia kiuno chake

Wee sifia tu.

Hata km ni mnakutana kazin... Wee msifie mara mnapokutana.. Sifia alivyopendeza, sifia anavyonukia, sifiaa sifiaa tu ,alafu SIFIA UCHAPAJI KAZI WAKE ,sifiaaa sifiaaa tu

Kama ni Mkeo nyumban sifia tu anavyokupikia, sifia anavyowajibika, sifia alivo mtamu kitandan, sifia tu uzuri wake ,msifiee msifieee

YAAN WEE MFANYE AAMINI KUA HAPA DUNIANI ,YEYE NDIO MWANAMKE PEKEE ALIYEKUWEZA, ALIYEKUKAMATA KISAWASAWA.....
Hata kama ana uchumi wake binafsi ( ACHA KUSHOBOKEA UCHUMI WAKE ) Wee sifia tu juhudi zake, sifia tu anavyopambana na maishaaaa.

Sheria ni ngumu ila ni sheria, KUMSIFIA MWANAMKE ni kitu kidogo sana ambacho Hakigharimu kitu, lkn Faida yake ni kubwa Sanaaaaaaaaaaa
Nahizi ni baadhi

Kumla Kimasihara kama sio demu wako

Yeye ataachana na michepuko mingine ili mradi tu keshajua ana mwanaume kamkamatia kisawasawa.

Hata usipomuhonga Pesa ,yeye karidhika tu ili mradi anajua keshakukamata ...( hapa wee utapaswa tu kumuelezea mipango yako , nakwakua wanaishi kwa ndoto badi ataridhika)

Kama umemuoa ndo kabisaa atakupa mambo matamu sana kuanzia kitandan, mapishi, na mahitaji meeengi ukiwa kama Mume wake.

.....Sifiaa Sifiaa Sifiaa

.....Jiaminiii ,onyesha una ujasiri ..( wanawake wanapenda mwanaume jasiri ).

....Kua Kijana Nadhifu wa Mwonekano.

Na mengine mengi kutegemea na aina ya Mwanamke.!!.

NB..SIFA IZO LAZIMA ZIAKSI VILE UNAVYOJISIKIA WEWE..

mf.. Wee Mwanamke jamani hayo macho yalivyo mazuri , nikikutizama tu huwa najikuta nmekua dhaifu ghafla,

KAMA ni demu wako, nyoosha maelezo kabisaa

............."najikuta nmekua dhaifu ghafla hadi mbooo hunisimama "[emoji23]

KAMA hujawah mtongoza, unamtaka au unataka kumla kimasihara.....

............"najikuta nmekua dhaifu ghafla ,kiasi kwamba huwa nawaza siku moja nikae nawee mahali patulivu tukiwa wawili, niyatizame hayo macho yako wakati unafika kileleni huwa yanakuaje!!
[emoji3516]
NI MWENDO WA KUPIGA PAMBIO MITHILI YA MAKADA NA VIBARAKA WA CCM,
WANAVYOSIFIA KUZIMWA KWA INTERNET WAKATI WANAHANGAIKA VIJIWENI KUTAFUTA KUOMBA VPN YENYE SPEED NZURI!!!!
[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Aaahhh kumbe hadi PM kafunga ?.

Kuna mawili na moja ndio jibu sahihi.

1-Ni mwanamke kweli , Komaa tu ivoivo kimtindo ,awe ameolewa au hajaolewa siku hizi wanawake wanahuruma sana , na kwakua huruma i ndan mwao atajistukia tu atakuPM

2-Ni Mwanaume mwenye Kivuli cha uanamke , hata ufanye vipi ,utazungushwa tu, Sanasana akikuPM ataanza yeye kukuomba Picha, Kukuomba namba zako lkn hakutafuti.

Unajua JF inamambo mengi sanaaaaa , ni bora hata FB, huko utakuta mapicha kadhaaa yake, yasipokuwepo utakuta marafiki zake ambao ukiwatumia unapata taarifa, utakuta vitu anavyopenda n.k

Ila humu JF, mamaaeee , Unaanzaje MPAKIA MKONGO DEMU USOMJUA???.. HUO NI USHAMBA!!.
Na hapo ndipo wanaume mnapofeli!
Kuchukulia advantage huruma ya wanawake!
 
Dah! umenena vema sana

Ngoja nisikilizie kama kuna maajabu yeyote yatatokea,ila angejua nnavomfikiria
Asingejiuliza mara mbili

All in all me ntaendelea na kazi yangu ya muziki kama alivonena Bamboo kwenye moja ya nyimbo zake.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka Roberto angalau hata huko chemba kwake pangekua panafikika labda tungeweza jadiliana kwa kiasi,
Ila kapafunga so kila kitu kinaishia hapa hapa.

Kuhusu jinsia sina shaka kabisa huyu ni mwanamke tena pure raised african
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka Roberto huwez amini nimekataliwa wazi wazi mbele ya hadhira
Kuna dada hapo juu kaja kunipaishia kabisa njiwa wangu
Hajui kiasi gani nnampenda cariha

Dah! yote maisha tu[emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23]eti Kuna dada kakupaishia njiwa wako
 
Sijasoma yote ni ndefu inaumiza. Subiri kwanza, ati kama huna pesa sifia sifia tu mwanamke ataingia mtego? Ati sifia heleni? Ati sijui sifia upotolo gani? Aiseee labda kama mkeo, ila mpango kando jipange tena.
Dah hiyo miguu...kuna mtu nilipishana naye inafanana na hiyo nikakukumbuka...those
 
Pole yakupasa utulie ujipe likizo na ijitafakari Kwanza na kabla ya kuanza mahusiano uwe makini sana
Ila sa zingine wanaume tunajichoresha sana!! Hivi unampendaje mtu ambaye hata sura yake huijui, tabia zake hujui af unasema umetokea kumpenda🥰🥰!! Hivi huyu mwanamke akikuuliza umempendea nn una jibu la kumpa kweli??? Kwa kweli mimi natamani af tabia ya mwanamke ndo inanifanya nimpende au nisepe..
 
Kusifia sifia mwisho wake nikupewa K kama asante,
Imenitokea nilikuwa namsifia jirani yangu mwendo wake, siku akaniambia nifuate ili uangalie ninavyotembea mpaka uridhike, nilimfuata kweli na tukaishia guest ,,na Sifa zikaishia hapo
Hahahah mbinu za kijasusi mbobezi 😂😂😂
 
Chini ya Jua hamna mwanamke Anayejiamin iwe katika Uzuri wake wa sura na umbo, Upishi, Mavazi, ufanyi kazi wake uko kazin, majukum ya nyumban n.k ..

Kwa haraka Ukimchukulia mwanamke kama kiumbe anayebeba Nyumba nzima, ni wazi kua nayeye hana hakika kama kila jambo kalifanya 100% inavyotakiwa.

Wanawake wanapenda KUSIFIWA KUSIFIWA KUSIFIWA , wanapenda Juhudi zao zionekane na kuthaminiwa, wanapenda michango yao nakila kitu kionekane kwako na ukitambue na yeye ajue wazi kua UMEKUBALI

Niivi , Anaweza kweli kua na Sura nzuri au Umbo zuri ,LAKIN KUNA KIUNGO ANAKICHUKIA SANA NA HANA HAKIKA NA UZUR WA KIUNGO Hicho ..mfano Anaweza simama kwa Kioo akajitazama juu chin ,alafu akachukua Pua yake.. Au matit, au Mguu, au Nywele, au Sikio, au Vidole n.k ....

Nawapa SIRI moja.

Kama huna Hela au Una hela ... Weee tanguliza kusifia tu , msifie anavyonukia, msifie Uzuri wake, sifia Saa alovaa, sifia Helen mwambie kabisa zimependesha masikio yako, Sifia macho yake, Sifia Pua, Sifia mguu, sifia makalio, sifia kiuno chake

Wee sifia tu.

Hata km ni mnakutana kazin... Wee msifie mara mnapokutana.. Sifia alivyopendeza, sifia anavyonukia, sifiaa sifiaa tu ,alafu SIFIA UCHAPAJI KAZI WAKE ,sifiaaa sifiaaa tu

Kama ni Mkeo nyumban sifia tu anavyokupikia, sifia anavyowajibika, sifia alivo mtamu kitandan, sifia tu uzuri wake ,msifiee msifieee

YAAN WEE MFANYE AAMINI KUA HAPA DUNIANI ,YEYE NDIO MWANAMKE PEKEE ALIYEKUWEZA, ALIYEKUKAMATA KISAWASAWA.....
Hata kama ana uchumi wake binafsi ( ACHA KUSHOBOKEA UCHUMI WAKE ) Wee sifia tu juhudi zake, sifia tu anavyopambana na maishaaaa.

Sheria ni ngumu ila ni sheria, KUMSIFIA MWANAMKE ni kitu kidogo sana ambacho Hakigharimu kitu, lkn Faida yake ni kubwa Sanaaaaaaaaaaa
Nahizi ni baadhi

Kumla Kimasihara kama sio demu wako

Yeye ataachana na michepuko mingine ili mradi tu keshajua ana mwanaume kamkamatia kisawasawa.

Hata usipomuhonga Pesa ,yeye karidhika tu ili mradi anajua keshakukamata ...( hapa wee utapaswa tu kumuelezea mipango yako , nakwakua wanaishi kwa ndoto badi ataridhika)

Kama umemuoa ndo kabisaa atakupa mambo matamu sana kuanzia kitandan, mapishi, na mahitaji meeengi ukiwa kama Mume wake.

.....Sifiaa Sifiaa Sifiaa

.....Jiaminiii ,onyesha una ujasiri ..( wanawake wanapenda mwanaume jasiri ).

....Kua Kijana Nadhifu wa Mwonekano.

Na mengine mengi kutegemea na aina ya Mwanamke.!!.

NB..SIFA IZO LAZIMA ZIAKSI VILE UNAVYOJISIKIA WEWE..

mf.. Wee Mwanamke jamani hayo macho yalivyo mazuri , nikikutizama tu huwa najikuta nmekua dhaifu ghafla,

KAMA ni demu wako, nyoosha maelezo kabisaa

............."najikuta nmekua dhaifu ghafla hadi mbooo hunisimama "[emoji23]

KAMA hujawah mtongoza, unamtaka au unataka kumla kimasihara.....

............"najikuta nmekua dhaifu ghafla ,kiasi kwamba huwa nawaza siku moja nikae nawee mahali patulivu tukiwa wawili, niyatizame hayo macho yako wakati unafika kileleni huwa yanakuaje!!
Carlos MITANO TENA ............though sifa unisifie zile ninazojua nastahili hizi za uongo nitakuwa naona tu unanichora
 
Back
Top Bottom