Wasifu/Biography wa Ali Masoud (Masoud Kipanya)

Hujui usemalo.sasa asugue kichwa chini ili iweje kwa mfano?
 
Huu uzi huu ushakuwa sehemu ya watu kuleta mahasira Yao ya kutokunywa chai.
 
Umetisha sana mkuu
 
Kuzaliwa Dubai na saudia ni alama za uswalihina? Uarabu ni alama ya mswalihina? Kuzaliwa Afrika hakuruhusu kushika dini? Sielewi ila naomba tu usiniite mjinga nielimisheni kwa upole.
 
Kuzaliwa Dubai na saudia ni alama za uswalihina? Uarabu ni alama ya mswalihina? Kuzaliwa Afrika hakuruhusu kushika dini? Sielewi ila naomba tu usiniite mjinga nielimisheni kwa upole.
Kumbe anafikiri ukizaliwa uarabuni ndo unajua UISLAMU sana!!!!!
 
Nimewahi msikia akisema Alisoma nje nafikiri kama sio malawi ni zambia
du nimecheka mpaka mtu niliekaa naye kwenye daladala kanishanga .

Hebu nirudie maneno yako.

"Uliwahi msikia kasoma nje " nilichowaza mimi na member wengine labda Kenya ,South Africa, au Ulaya.
Uliposema
"Malawi au Zambia " nikajua tu wewe una lako jambo.
 
Mkuu watu wa hivyo hawanaga elimu kubwa zaidi ya kipaji! But watu hawajui kuwa Mchoraji yoyote mwenye kipaji halisi, anawaza zaidi ya mtu wa kawaida, na IQ zao Ni kubwa kuliko watu wa kawaida! Pia wanaweza kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja!
kweli mkuu kama yule " Kingo " wa James Gayo
 
Alama za mwili zinaletwa na tabia...wewe huwezi jua. Sometimes its more psychological...
Nimecheka sanavhasa baada ya kukumbuka kuwa kuna watu wana alama mwilini kwa kuwa wana tabia ya kupata ajali
 
Mkuu watu wa hivyo hawanaga elimu kubwa zaidi ya kipaji! But watu hawajui kuwa Mchoraji yoyote mwenye kipaji halisi, anawaza zaidi ya mtu wa kawaida, na IQ zao Ni kubwa kuliko watu wa kawaida! Pia wanaweza kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja!

Ni kweli mkuu, kuhamisha kitu kutoka kwenye mawazo na kukiweka katika mchoro sio kitu kila mtu unaweza, ndio maana kila mtu mwenye kipaji cha kuchora anakua na akili na ubunifu, ukichanganya na shule ndio inakua habari japo kipaji hakina mahusiano ya moja kwa moja na shule
 
Siku zote mwenye kipaj hapitii darasani...mungu hufanya hiv kuonyesha uwezo wake....ndio maana ata manabii hawakukaa class but walikuwa wana IQ kubwa kuliko waliokwenda shule...............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…