Wasifu/Biography wa Ali Masoud (Masoud Kipanya)

Wasifu/Biography wa Ali Masoud (Masoud Kipanya)

Ni kweli mkuu, kuhamisha kitu kutoka kwenye mawazo na kukiweka katika mchoro sio kitu kila mtu unaweza, ndio maana kila mtu mwenye kipaji cha kuchora anakua na akili na ubunifu, ukichanganya na shule ndio inakua habari japo kipaji hakina mahusiano ya moja kwa moja na shule
Sure mkuu.
 
Nashangaa siku hizi anasjida kubwa usoni!Wakati ameanza kusali ukubwani tu..kitu kinanishangaza sana..watu waliozaliwa Saudi Arabia au Dubai ..ambao huwa wameanza kusali toka wakiwa wadogo hawana sijda, lakini wabongo ambao wameijua dini ukubwani, wanasugua uso makusudi mpaka itokee sijda ili waonekane ni watu wadini.Ajabu sana...
Wenzio huko mbele wanasali kwenye mazulia ya ukweli, sio huku bongo wanaswali kwenye mkeka uliochokaaa.
 
Kumbe 'kipanya' sio jina la ukoo! sasa mbona mdogo wake anajiita Mussa Kipanya?
 
Nipo my dear...tumepoteana siku. ndoa inakubana nini
yaani tumepoteana sana best

si unajua ukiwa kwenye ndoa laizima uwajibike sana mpaka muda mwingine wa kuwa humu unaingia kwa kubeep

vipi shughuli zako zinakwendaje best
 
Nashangaa siku hizi anasjida kubwa usoni!Wakati ameanza kusali ukubwani tu..kitu kinanishangaza sana..watu waliozaliwa Saudi Arabia au Dubai ..ambao huwa wameanza kusali toka wakiwa wadogo hawana sijda, lakini wabongo ambao wameijua dini ukubwani,wanasugua uso makusudi mpaka itokee sijda ili waonekane ni watu wadini.Ajabu sana...
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
yaani tumepoteana sana best

si unajua ukiwa kwenye ndoa laizima uwajibike sana mpaka muda mwingine wa kuwa humu unaingia kwa kubeep

vipi shughuli zako zinakwendaje best

kwakweli namshukuru Mungu...mambo yanakwenda kulingana na mipango.

Usipotee sana
 
Nashangaa siku hizi anasjida kubwa usoni!Wakati ameanza kusali ukubwani tu..kitu kinanishangaza sana..watu waliozaliwa Saudi Arabia au Dubai ..ambao huwa wameanza kusali toka wakiwa wadogo hawana sijda, lakini wabongo ambao wameijua dini ukubwani,wanasugua uso makusudi mpaka itokee sijda ili waonekane ni watu wadini.Ajabu sana...
Connection na cv ipo hapo kweli
 
wabongo kweli kiboko, kutoka kwenye kipaji mpaka Imani za kidini.
 
Alama za mwili zinaletwa na tabia...wewe huwezi jua. Sometimes its more psychological...
what has psychology got to do with a person's curriculum Vitae? just be a sport and admit that u went of topic na chuki yako ya sijda. With all due respect I think your are the one with some psychological and religious issues here.
 
Ishu ya dini niliisha itolea ufafanuzi hapo juu...I love Islam, ni dini yenye kuweka misingi imara ya Amani na upendo wa hali ya juu. Ninaweza OBSERVE kitu kwa mtu nikaamua kukiongelea hicho...watu wote hatuwezi kuwa tunadiscuss vyeti vya elimu tu mwanzo mwisho,kana kwamba cv ya mtu ni vyeti...ndo maana kwenye curriculum vitae (CV) unaandika wewe ni raia wa nchi gani,dini gani,umeoa/umeolewa,hobby zako ni nini...CV ni kitu kinawasaidia wasaili wakujue wewe ni mtu wa namna gani kabla ya kukusikiliza ukijieleza binafsi...Hivyo sijatoka nje ya topic,ila ni uelewa wako tu wa mambo ni mdogo sana..
 
Back
Top Bottom