gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,577
Hivi cv si siri au?Manake Huku ni kuingilia privacy ya mtu.Alisoma wapi secondary?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi cv si siri au?Manake Huku ni kuingilia privacy ya mtu.Alisoma wapi secondary?
A brief account of a person's education,qualifications,and previous experience typical sent with a job application.Niambie maana ya cv...
Hizo ni limitation zako na za huyo uliemqot, kuna interview zingine unaweza kuingia watu wakakuangalia tu ulivyo..wakaamua huwafai.A brief account of a person's education,qualifications,and previous experience typical sent with a job application.
Swali lilikuwa nini maana ya cv sina hakika kama lilikuwa linahusisha cv na matokeo yake baada ya interview jaribu kuwa consistent in conversation.Hizo ni limitation zako na za huyo uliemqot, kuna interview zingine unaweza kuingia watu wakakuangalia tu ulivyo..wakaamua huwafai.
Nilisahakujibu na nimekwenda extra mile mbele....After all mimi ni kama Steven Biko..I Write What I Like..Swali lilikuwa nini maana ya cv sina hakika kama lilikuwa linahusisha cv na matokeo yake baada ya interview jaribu kuwa consistent in conversation.
Hilarious!Nilisahakujibu na nimekwenda extra mile mbele....After all mimi ni kama Steven Biko..I Write What I Like..
Peace Be Upon You BrotherHilarious!
Poor thinking capacityNashangaa siku hizi anasjida kubwa usoni!Wakati ameanza kusali ukubwani tu..kitu kinanishangaza sana..watu waliozaliwa Saudi Arabia au Dubai ..ambao huwa wameanza kusali toka wakiwa wadogo hawana sijda, lakini wabongo ambao wameijua dini ukubwani,wanasugua uso makusudi mpaka itokee sijda ili waonekane ni watu wadini.Ajabu sana...
Sit on that dick u have as your avatar...Poor thinking capacity
nyumb jike[emoji1] [emoji2] [emoji3]
Tupa kule,kama ungelikuwa na akili wala usingefananisha CV NA MASULA YA DINI,JINS GANI ULIVYOKUWA NA UWEZO MDOGO WA KUFIKIRI,###UTABAKI KUWA NYUMBU JKE TU!!!!alwaysSit on that dick u have as your avatar...
Ewe mwenye uelewa mkubwa asante kwa kuangalia ukubwa wa sijda ya Kipanya kama kigezo cha kuzingatia katika kujadili cv yake.Ishu ya dini niliisha itolea ufafanuzi hapo juu...I love Islam, ni dini yenye kuweka misingi imara ya Amani na upendo wa hali ya juu. Ninaweza OBSERVE kitu kwa mtu nikaamua kukiongelea hicho...watu wote hatuwezi kuwa tunadiscuss vyeti vya elimu tu mwanzo mwisho,kana kwamba cv ya mtu ni vyeti...ndo maana kwenye curriculum vitae (CV) unaandika wewe ni raia wa nchi gani,dini gani,umeoa/umeolewa,hobby zako ni nini...CV ni kitu kinawasaidia wasaili wakujue wewe ni mtu wa namna gani kabla ya kukusikiliza ukijieleza binafsi...Hivyo sijatoka nje ya topic,ila ni uelewa wako tu wa mambo ni mdogo sana..
Nashangaa siku hizi anasjida kubwa usoni!Wakati ameanza kusali ukubwani tu..kitu kinanishangaza sana..watu waliozaliwa Saudi Arabia au Dubai ..ambao huwa wameanza kusali toka wakiwa wadogo hawana sijda, lakini wabongo ambao wameijua dini ukubwani,wanasugua uso makusudi mpaka itokee sijda ili waonekane ni watu wadini.Ajabu sana...
Swala la sijida limekujaje hapa mwache na itikadi yake ww kama unajua CV yake lete hapaNashangaa siku hizi anasjida kubwa usoni!Wakati ameanza kusali ukubwani tu..kitu kinanishangaza sana..watu waliozaliwa Saudi Arabia au Dubai ..ambao huwa wameanza kusali toka wakiwa wadogo hawana sijda, lakini wabongo ambao wameijua dini ukubwani,wanasugua uso makusudi mpaka itokee sijda ili waonekane ni watu wadini.Ajabu sana...
Ulimbukeni wa kusujudu mila za kiarabu tu hamna jingine hapo.Nashangaa siku hizi anasjida kubwa usoni!Wakati ameanza kusali ukubwani tu..kitu kinanishangaza sana..watu waliozaliwa Saudi Arabia au Dubai ..ambao huwa wameanza kusali toka wakiwa wadogo hawana sijda, lakini wabongo ambao wameijua dini ukubwani,wanasugua uso makusudi mpaka itokee sijda ili waonekane ni watu wadini.Ajabu sana...
Wenzio huko mbele wanasali kwenye mazulia ya ukweli, sio huku bongo wanaswali kwenye mkeka uliochokaaa.
sijasema hivyo bwana.unamaanisha wanajigonga gonga uso makusudi? halafu mbona wanawake wao hawana hiyo alama ?