Wasifu/Biography wa Ali Masoud (Masoud Kipanya)

Sure mkuu.
 
Wenzio huko mbele wanasali kwenye mazulia ya ukweli, sio huku bongo wanaswali kwenye mkeka uliochokaaa.
 
Kumbe 'kipanya' sio jina la ukoo! sasa mbona mdogo wake anajiita Mussa Kipanya?
 
Nipo my dear...tumepoteana siku. ndoa inakubana nini
yaani tumepoteana sana best

si unajua ukiwa kwenye ndoa laizima uwajibike sana mpaka muda mwingine wa kuwa humu unaingia kwa kubeep

vipi shughuli zako zinakwendaje best
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
yaani tumepoteana sana best

si unajua ukiwa kwenye ndoa laizima uwajibike sana mpaka muda mwingine wa kuwa humu unaingia kwa kubeep

vipi shughuli zako zinakwendaje best

kwakweli namshukuru Mungu...mambo yanakwenda kulingana na mipango.

Usipotee sana
 
Connection na cv ipo hapo kweli
 
wabongo kweli kiboko, kutoka kwenye kipaji mpaka Imani za kidini.
 
Alama za mwili zinaletwa na tabia...wewe huwezi jua. Sometimes its more psychological...
what has psychology got to do with a person's curriculum Vitae? just be a sport and admit that u went of topic na chuki yako ya sijda. With all due respect I think your are the one with some psychological and religious issues here.
 
Ishu ya dini niliisha itolea ufafanuzi hapo juu...I love Islam, ni dini yenye kuweka misingi imara ya Amani na upendo wa hali ya juu. Ninaweza OBSERVE kitu kwa mtu nikaamua kukiongelea hicho...watu wote hatuwezi kuwa tunadiscuss vyeti vya elimu tu mwanzo mwisho,kana kwamba cv ya mtu ni vyeti...ndo maana kwenye curriculum vitae (CV) unaandika wewe ni raia wa nchi gani,dini gani,umeoa/umeolewa,hobby zako ni nini...CV ni kitu kinawasaidia wasaili wakujue wewe ni mtu wa namna gani kabla ya kukusikiliza ukijieleza binafsi...Hivyo sijatoka nje ya topic,ila ni uelewa wako tu wa mambo ni mdogo sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…