ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,753 Reaction score 9,575 Jan 3, 2018 #121 Vin Diesel said: Watu wanaulizia CV wewe unakuja na sijda...kumfuatilia mtu kiasi hicho ni dalili za uchawi... Click to expand... heee heri ya mwaka mpya umepotea kweli best kuikoni
Vin Diesel said: Watu wanaulizia CV wewe unakuja na sijda...kumfuatilia mtu kiasi hicho ni dalili za uchawi... Click to expand... heee heri ya mwaka mpya umepotea kweli best kuikoni
The Valiant JF-Expert Member Joined Aug 16, 2017 Posts 2,826 Reaction score 3,947 Jan 3, 2018 #122 Jamaa kichwa sana
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 Jan 3, 2018 #123 Kuwa cartoonist yahitaji IQ kubwa
Vin Diesel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 9,088 Reaction score 6,384 Jan 3, 2018 #124 ladyfurahia said: heee heri ya mwaka mpya umepotea kweli best kuikoni Click to expand... Heri ya mwaka mpya pia best.....za masiku
ladyfurahia said: heee heri ya mwaka mpya umepotea kweli best kuikoni Click to expand... Heri ya mwaka mpya pia best.....za masiku
blogspot JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 1,268 Reaction score 1,143 Jan 4, 2018 #125 Michoro husaidia sana katika mawasiliano ya MTU mmoja na mwingine kiurahisi zaidi jamaa anajua
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Jan 10, 2018 #126 Muslim University of Moro mpeni PhD ya heshima huyu jamaaa