PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
tuna utani sana,kwa hiyo ndo tutegemee aongee na Maprofesa
 
Matokeo ya kazi zake yataonekana baada ya miaka kadhaa huko mbele ya safari.
Miaka kama 20 iliyopita nilikuwa na rafiki yangu mmoja Afisa mwandamizi serikalini.

Wakati huo Serikali ilimwajiri kijana mmoja kuwa injinia wa mkoa, Mimi nilistaajabu na kuuliza kwa nini wameajiri kijana badala ya kutafuta mtu mzima mwenye uzowefu.

Yule rafiki yangu akaniambia kuwa alikuwa anatakiwa mtu mwenye shahada ya uzamili na wengi walioomba hawakuwa na sifa hiyo.

Aliniambia wakati Ally Hassan Mwinyi akiwa Rais, watu wengi walipuuzia kusoma na badala yake wakaamua kufanya biashara madhara yake yakaonekana miaka kadhaa baada ya yeye kutoka madarakani.

Madhara ya kuharibu mfumo wa Elimu yetu hayataonekana sasa.
 
Samia kumteua binti yake kilaza kuwa Naibu Waziri wa Elimu hii ni mojawapo ya hujuma zake kwa Watanganyika halafu mazwazwa ya CCM hawastukii hujuma hii.
 
mwisho wa siku tanzagiza karibia kila kitu inategemea nani ni raisi
Huyo waziri wa elimu ni mzuri, na wapo waTanzania wengi sana wasomi wazuri; tatizo ni hilo moja; uzuri wao unapotea kabisa wanapokuwa chini ya rais kilaza kama huyu.
Mbaya zaidi ni wakati wanapoona kuwa elimu yao haina maana zaidi ya manufaa ya tumbo lao!
maana ni bosi wake, sasa hapo waziri wa elimu atafanya nini? hamna jinsi labda ajiuzulu na hapo akijiuzulu mwenyewe kesho yake tunaombeleza
Hii ndiyo hatua inayowashinda wote; ya kujiuzuru.
Siamini hata mara moja kuwa maisha yao yatakuwa hatarini wakikataa kudhalilisha taaluma zao kwa kujiuzuru nyadhifa zinazoharibu heshima ya usomi wao.
Kwanza hiyo ingewajengea heshima kubwa katika jamii, na sina shaka hali ingekuwa ni tofauti kabisa na ilivyo sasa kama wasomi hawa wangeonyesha mifano, kwa kujiuzuru kukataa kutumiwa kuvuruga taifa letu.
 
Back
Top Bottom