Hayo ni maelezo ya Amiri jeshi mkuu anayemteua CDF!
PumbaKatika hotuba nzima ya Dr Magufuli pale Zanzibar jana swali hili alilowauliza wazanzibar ndio lililonifurahisha.
Dr. Hussein Mwinyi ameweza kutulinda na kuhakikisha watanzania milioni 60 tuko salama atashindwaje kuwaongoza wazanzibari 1.5?
Mungu mbariki Rais Magufuli.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Inaonesha wewe ndie hujaelewa ulichoandika mwenyewe!!!Soma kwa kuelewa bwashee,
Najua mida hii una kisado cha mbege pembeni.
Kwake anaamini kazi ya ulinzi inafanywa na wengine kabisa, hususani CDF na timu yake na sio Mwinyi ambae ni waziri tu! Ndipo nawe ukajibu:-Ameweza kutulindaje?
Maana wanaofanya hiyo kazi ni wengine kabisa. yeye ni mratibu tu.
Usiandike as if yeye ndio CDF.
Sasa ikiwa hata huyo CDF hateuliwi na waziri, role ya Mwinyi katika kutulinda inatokea wapi hapo?!Hayo ni maelezo ya Amiri jeshi mkuu anayemteua CDF!
Bora hata umemuelewesha. Maana haelewi swaliInaonesha wewe ndie hujaelewa ulichoandika mwenyewe!!!
Wewe na Magu wako mmehoji kwamba ikiwa Dr. Mwinyi kaweza kutulinda Tanzania yote, ndo ashindwe kuiongoza Zanzibar!!!
Mdau akahoji:-
Kwake anaamini kazi ya ulinzi inafanywa na wengine kabisa, hususani CDF na timu yake na sio Mwinyi ambae ni waziri tu! Ndipo nawe ukajibu:-
Sasa ikiwa hata huyo CDF hateuliwi na waziri, role ya Mwinyi katika kutulinda inatokea wapi hapo?!