Zanzibar 2020 Wasifu: Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Rais ajaye wa Zanzibar

Zanzibar 2020 Wasifu: Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Rais ajaye wa Zanzibar

Dr. Hussein kama baba yake tu Mzee ally Hassan Mwinyi muungwana sana na mnyenyekevu.
Na nimekuwa nikisema huyu kaandaliwa muda mrefu sana kuwa kiongozi na kwa hakika ameiva kweli kweli.

Ama kweli huwezi kuokota Embe jini ya Mti wa Mchongoma.
 
baada ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya ccm huko visiwani znz nimemfuatilia kwa karibu mazungumzo yake na haswa leo ktk mkutano wa halmashauri kuu ccm nimebani kuwa Hussein ana karama ya uongozi,
hongera sana Hussein Mwinyi,
Tusiongee sana muda utaongea.
 
Baada ya kumsikiliza Magufuli anavyoongea, sasa hivi hata ukimdikiliza mtoto wa miaka 12 unaweza kusema ana karama ya uongozi.

Mwinyi ana maswali mengi.

Lakini, acceptance speech yake ilikuwa poa sana. Alisema alichotakiwa kusema, alisema kwa unyenyekevu, alisema kwa kuwaunganisha wanachama wote wa CCM, alisema kwa kuonesha kujua kwamba ameshinda mchakato mrefu, lakini kazi kubwa zaidi iko mbele yake.

Hussein Mwinyi aliongea in a presidential way kuliko hata Magufuli aliyekuwa anajifaragua kuonesha udikteta wake tu.
Magufuli yeye anasema Zanzibar wasichague rais ambaye kila akikutana naye kitu cha kwanza ni shikamoo!!![emoji3]
 
baada ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya ccm huko visiwani znz nimemfuatilia kwa karibu mazungumzo yake na haswa leo ktk mkutano wa halmashauri kuu ccm nimebani kuwa Hussein ana karama ya uongozi,
hongera sana Hussein Mwinyi,
Magufuli anayo?
 
Katika hotuba nzima ya Dr Magufuli pale Zanzibar jana swali hili alilowauliza wazanzibar ndio lililonifurahisha.

Dr. Hussein Mwinyi ameweza kutulinda na kuhakikisha watanzania milioni 60 tuko salama atashindwaje kuwaongoza wazanzibari 1.5?

Mungu mbariki Rais Magufuli.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Katika hotuba nzima ya Dr Magufuli pale Zanzibar jana swali hili alilowauliza wazanzibar ndio lililonifurahisha.

Dr Hussein Mwinyi ameweza kutulinda na kuhakikisha watanzania milioni 60 tuko salama atashindwaje kuwaongoza wazanzibari 1.5?

Mungu mbariki Rais Magufuli.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Hata wewe unaweza, ni katiba tu.
halafu upitishwe na wananchi

Mwinyi anapitishwa na NECCCM
 
CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
 
Baada ya yale Matukio ya Mabomu ya Gongo la mboto na Mbagala yaliyotokea akiwa waziri alipaswa kujiuzulu,tukio la kwanza ingeeleweka ni ajali lakini jambo lile lile lilijirudia tena ndani ya kipindi kifupi na hakuna kiongozi yoyote mkubwa wa wizara au JWTZ aliebeba dhamana ya kilichotokea,kama yupo naomba kufahamishwa
 
Alichofuata Zanzibar ni kutafuta mke wa Pili, sikuona cha maana hapo.

Mwinyi amekuwa CDF, IGP, Mkuu wa Usalama, Amiri Jeshi au ni nani hasa kikatiba?
 
Katika hotuba nzima ya Dr Magufuli pale Zanzibar jana swali hili alilowauliza wazanzibar ndio lililonifurahisha.

Dr Hussein Mwinyi ameweza kutulinda na kuhakikisha watanzania milioni 60 tuko salama atashindwaje kuwaongoza wazanzibari 1.5?

Mungu mbariki Rais Magufuli.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Amealinda vipi ww akili yako iko sawa kweli?
 
Naona mwandishi unaandika bila kushirikisha ubongo. Kwa hivyo CDF wote wanafaa kuwa marais wa Tanzania?

Wazanzibar wanataka kumsikia Mwinyi akizungumzia mustakabali wa Zanzibar katika muungano huu ulioifanya Zanzibar kuwa mkia (mkoa!) wa Tanganyika. Mwinyi toka amekuwa mwanasiasa mpaka leo hii anagombea urais anaogopa kabisa kuwasemea wazanzibar kuhusu muungano unaotutesa wazanzibar. Mzanzibar gani huyu muoga kama Kunguru wa bara?

Wazanzibar hatutaki utani safari hii, tulishaikataa CCM na wagombea wake wote, tumechoka kuburuzwa na muungano wa kihuni. Iwe jua liwe mvua, tutamchagua Maalim Seif.
 
Back
Top Bottom