Zanzibar 2020 Wasifu: Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Rais ajaye wa Zanzibar

Zanzibar 2020 Wasifu: Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Rais ajaye wa Zanzibar

Kuhusu Urais Zanzibar hamna maswali tusubiri kuongoza JMT kwa ndugu Mwinyi siku za usoni
 
Hongera kwa kuteuliwa Kupeperusha Bendera ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 Zanzibar
IMG_20200710_171128.jpg
 
baada ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya ccm huko visiwani znz nimemfuatilia kwa karibu mazungumzo yake na haswa leo ktk mkutano wa halmashauri kuu ccm nimebani kuwa Hussein ana karama ya uongozi,
hongera sana Hussein Mwinyi,
Baada ya kumsikiliza Magufuli anavyoongea, sasa hivi hata ukimdikiliza mtoto wa miaka 12 unaweza kusema ana karama ya uongozi.

Mwinyi ana maswali mengi.

Lakini, acceptance speech yake ilikuwa poa sana. Alisema alichotakiwa kusema, alisema kwa unyenyekevu, alisema kwa kuwaunganisha wanachama wote wa CCM, alisema kwa kuonesha kujua kwamba ameshinda mchakato mrefu, lakini kazi kubwa zaidi iko mbele yake.

Hussein Mwinyi aliongea in a presidential way kuliko hata Magufuli aliyekuwa anajifaragua kuonesha udikteta wake tu.
 
Back
Top Bottom