Zanzibar 2020 Wasifu: Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Rais ajaye wa Zanzibar

Baba ake hajawahi kuwa raisi wa zanzibar
№PortraitPresident
(Birth–Death)Term of officeElectedPolitical affiliation
(at time of appointment)Chief Minister(s)Took officeLeft officeTime in office1Abeid Karume 1964.jpgAbeid Karume
(1905–1972)26 April19647 April 1972
(assassinated.)7 years, 347 days1965
1970Afro-Shirazi PartyPosition abolished2No image.pngAboud Jumbe
(1920–2016)7 April 197230 January198411 years, 298 days1975Afro-Shirazi Party1980Chama Cha Mapinduzi[2]Baki3Ali Hassan Mwinyi.jpgAli Hassan Mwinyi
(1925–)30 January198424 October19851 year, 267 days–Chama Cha MapinduziHamad4No image.pngIdris Abdul Wakil
(1925–2000)24 October198525 October19905 years, 1 day1985Chama Cha MapinduziHamad
Juma5No image.pngSalmin Amour
(1948–)25 October19908 November200010 years, 14 days1990
1995Chama Cha MapinduziJuma
Bilal6Amani Abeid Karume.jpgAmani Abeid Karume
(1948–)8 November20003 November20109 years, 360 days2000
2005Chama Cha MapinduziBilal
Nahodha7Ali Mohamed Shein, September 2014 (cropped).jpgAli Mohamed Shein
(1948–)3 November2010Incumbent9 years, 235 days2010
2015Chama Cha MapinduziNahodhaPosition abolished

President of Zanzibar - Wikipedia
 
Mkimaliza kuwabagua watu wenu walewale wa nchi moja mtaanza kubaguana kwa "Wale wa Pemba sisi wa Unguja"....hamtabaki salama.
 
Kwa Mara ya kwanza raisi wa Zanzibar anakuwa na asili ya Tanzania bara yaani pwani, mpambano utakuwa mkali maalim vs mwinyi

Zanzibar ni VISIWA....

KIASILI VISIWANI hawakai watu....
BINADAMU waliumbiwa BARA wakasambaa mpaka huko......

Wazanzibari zaidi ya 90% wana ASILI YA TANGA NA NYIKA.

Imekwisha hiyooooo.
 
Kwa Mara ya kwanza raisi wa Zanzibar anakuwa na asili ya Tanzania bara yaani pwani, mpambano utakuwa mkali maalim vs mwinyi

ni kweli kabisa

akina mwinyi ni wa mkuranga hapo,baba yake alikwenda zanzibar kikazi tu ndio akakutana na uraisi,then akarudi kuwa raisi wa bara.

kwahiyo kiasili mwinyi siyo wa zanzibar,sasa ACT kupitia kwa maalim wanaweza tengeneza agenda ya kwamba wanaletewa mgombea ambaye siyo mzanzibari wa asili.

uchaguzi utakua mzuri sasa.
 
№PortraitPresident
(Birth–Death)Term of officeElectedPolitical affiliation
(at time of appointment)Chief Minister(s)Took officeLeft officeTime in office1Abeid Karume 1964.jpgAbeid Karume
(1905–1972)26 April19647 April 1972
(assassinated.)7 years, 347 days1965
1970Afro-Shirazi PartyPosition abolished2No image.pngAboud Jumbe
(1920–2016)7 April 197230 January198411 years, 298 days1975Afro-Shirazi Party1980Chama Cha Mapinduzi[2]Baki3Ali Hassan Mwinyi.jpgAli Hassan Mwinyi
(1925–)30 January198424 October19851 year, 267 days–Chama Cha MapinduziHamad4No image.pngIdris Abdul Wakil
(1925–2000)24 October198525 October19905 years, 1 day1985Chama Cha MapinduziHamad
Juma5No image.pngSalmin Amour
(1948–)25 October19908 November200010 years, 14 days1990
1995Chama Cha MapinduziJuma
Bilal6Amani Abeid Karume.jpgAmani Abeid Karume
(1948–)8 November20003 November20109 years, 360 days2000
2005Chama Cha MapinduziBilal
Nahodha7Ali Mohamed Shein, September 2014 (cropped).jpgAli Mohamed Shein
(1948–)3 November2010Incumbent9 years, 235 days2010
2015Chama Cha MapinduziNahodhaPosition abolished

President of Zanzibar - Wikipedia

Inamaana picha ya Komandoo haijapatikana au fitna tu?
 
Akitoka mtoto wa Mwinyi aje mtoto wa Komandoo Salmin
 
Kwa Mara ya kwanza raisi wa Zanzibar anakuwa na asili ya Tanzania bara yaani pwani, mpambano utakuwa mkali maalim vs mwinyi

Km Zanzibar wana ASILI yao....

Hivi LUGHA za makabila Yao ni NGAPI?!!

ZINAONGELEWAJE VILE?!!
 
Na kwa wale wasiomfahamu najua wapo vijana wetu (wangu) wa UVCCM hapa..Bwana Hussein Ali Hassan Mwinyi (MD) alikuwa mbunge wa Mkuranga Mwaka 2000 hadi 2005 ndio akahamia Zanzibar aandaliwe kuwa alivyo sasa yaani mgombea wa Zanzibar. Ni fahari kwa Mndengereko huyu kuibeba CCM yetu Mpya huko Zanzibar..naimani tutashinda kwa kishindo kama kawaida😛😛
 
ni kweli kabisa

akina mwinyi ni wa mkuranga hapo,baba yake alikwenda zanzibar kikazi tu ndio akakutana na uraisi,then akarudi kuwa raisi wa bara.

kwahiyo kiasili mwinyi siyo wa zanzibar,sasa ACT kupitia kwa maalim wanaweza tengeneza agenda ya kwamba wanaletewa mgombea ambaye siyo mzanzibari wa asili.

uchaguzi utakua mzuri sasa.

Na Utuambie ASILI ya baba yake MAALIM SEIF.....
 
Back
Top Bottom